Nahitaji Simu haraka kwa bei 100,000

Mr worldwide

JF-Expert Member
Dec 30, 2017
348
737
Habari wakuu,

Nahitaji simu original kabisa haraka sana iwezekanavyo, budget iliyopo ni pesa ya Kitanzania shilingi laki moja (100,000)
Napatikana Dar es salaam
Aina ya simu inayohitajika ni miongoni mwa zifuatazo:

• Samsung Galaxy S4
•Samsung Grand Prime pro
•Tecno Camon CX Air
•Samsung Grand Prime (bei inaweza pungua)

Note: Bei inaweza kushuka na sio kupanda, wanaohitajika kuni PM ni wale tu wenye simu nilizoziorodhesha hapo juu.

Matapeli na wenye simu fake wasipite kabisa katika uzi huu.
 
Chukua hiyo hapo Bei nipe 50k
tapatalk_1573455706555.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli JF imezubaa sana
Watu wanaoneshwa pesa lakini wamejificha

Simu bado sijapata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom