Nahitaji siku nikifa mwili wangu utumiwe huko cardava ili usomewe

Riz king

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
275
547
Sijajua iwapo nikiacha wosia kama ndugu zangu watakubali maana siku hyo sitakua natambua kitu nifanyeje na utaratibu upi niufanye ili nikifa mwili wangu usizikwe Bali utumike kwa wanafunzi wa udaktar kuusomea?
 
Leo naona vijana mnaongelea vifo vyenu sana.

TUJIFUKIZE... Akili za kuambiwa.....
 
 
Hivi kati ya Oryx, Mihan, Meru na kampuni gani zingine za gas kutoka kwenye sofa za leather na vitambaa ili gari za diesel, petrol na umene ambazo ni nini tofauti ya Pub, lounge, bar kwenye mikoa ambayo imetajwa itakua na mvua nyingi kati ya Allys star na Tanzanite stendi ya Dodoma.
 
Unajua nchi zilizoendelea huwaga watu wanasema kama akifa kiungo chake ( chochote kama amekitaja ) kitolewe na awekewe yule mwenye uhitaji. Unadhani mtu huyu atakuwa ameokoa maisha ya watu wangapi?

Sasa wewe ambaye hutak lolote waona bora mchwa ale kuliko kuokoa maisha ya wengine...

Ndugu zanguni dunia imeenda mbali sana hata sehemu ya mabadiliko yake kwa nchi za dunia ya 3 hawajaziona
 
If i die tonight? Wosia niliowaachia ndugu zangu nizikwe nilipofia na sio kunipeleka uchagani halafu waendelee kuhesabu makaburi no .
Inatakiwa wanisahau shwaiñ
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom