Nahitaji shamba la kukodisha

Msuya Jr.

JF-Expert Member
May 31, 2013
1,695
2,000
Hello wana jf, kama kichwa cha habari hapo juu, nahitaji sehemu ya kilimo, nje kidogo ya dar es salaam, eneo kwa ajili ya mradi wa mboga mboga. Kama heka 1 hivi, nahitaji pawe na maji ya uhakika
 
EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,416
2,000
NJOO NIKUKODISHIE ENEO mpakan mwa kibaha na kisarawe panaitwa musese ni center kabisa,maji kibao tena ya bure kuna jamaa kapga green house huku balaa za nyanya na ufuta,nicheki 0624078252 AU 0764726071
 
Nipo ilala, nafika vip pande hizo, maana kisarawe najua lazima upitie goms, unless otherwise
 
popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
1,500
Njoo nikukodishie shamba ambalo lipo tayari limetifuliwa na kulimwa wewe unaanza kupanda mbogamboga zako unazo hitaji mkuu..lipo Bagamoyo Mtoni kwenye bonde la mto Ruvu na maji ni uhakika kutokana na mto ruvu

0713926364
 
NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
861
500
NJOO NIKUKODISHIE ENEO mpakan mwa kibaha na kisarawe panaitwa musese ni center kabisa,maji kibao tena ya bure kuna jamaa kapga green house huku balaa za nyanya na ufuta,nicheki 0624078252 AU 0764726071
Bei ya kukodi ikoje? Na mazao gani maeneo hayo?
 
EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,416
2,000
eneo limebaki 37+37 mazao huku n matikiti,viazi,mihogo,karanga,kunde,mahindi. UFUGAJI PIA.
 
ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,302
2,000
Hello wana jf, kama kichwa cha habari hapo juu, nahitaji sehemu ya kilimo, nje kidogo ya dar es salaam, eneo kwa ajili ya mradi wa mboga mboga. Kama heka 1 hivi, nahitaji pawe na maji ya uhakika
lipo shamba la kukodisha ruvu jkt wanakodisha kwa shs 80,000/= kwa hekali 1 na limeshalimwa ila unarudisha charge ya wale waliolima kwani wao wameghairi kulima msimu huu je unahitaji hilo nikupeleke?
 
JipuKubwa

JF-Expert Member
Jun 1, 2013
2,257
2,000
lipo shamba la kukodisha ruvu jkt wanakodisha kwa shs 80,000/= kwa hekali 1 na limeshalimwa ila unarudisha charge ya wale waliolima kwani wao wameghairi kulima msimu huu je unahitaji hilo nikupeleke?
Gharama bei gani za kuwarudishia na wamepanda mazao gani.
 
kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
4,751
2,000
lipo shamba la kukodisha ruvu jkt wanakodisha kwa shs 80,000/= kwa hekali 1 na limeshalimwa ila unarudisha charge ya wale waliolima kwani wao wameghairi kulima msimu huu je unahitaji hilo nikupeleke?
nipe no mkuu tafadhali
 
NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
861
500
lipo shamba la kukodisha ruvu jkt wanakodisha kwa shs 80,000/= kwa hekali 1 na limeshalimwa ila unarudisha charge ya wale waliolima kwani wao wameghairi kulima msimu huu je unahitaji hilo nikupeleke?
Nipeleke dada hata kesho?
 
Adacha

Member
Feb 14, 2013
54
125
Njoo nikukodishie shamba ambalo lipo tayari limetifuliwa na kulimwa wewe unaanza kupanda mbogamboga zako unazo hitaji mkuu..lipo Bagamoyo Mtoni kwenye bonde la mto Ruvu na maji ni uhakika kutokana na mto ruvu

0713926364

Mkuu apo mtoni unakodisha kwa bei gan na naweza kupata eka mpaka ngap nikihitaji??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom