Nahitaji sehemu ya kujitolea katika nafasi ya Receptionist

suppelbae

Member
Sep 28, 2020
5
3
Mimi ni kijana wa miaka 22. Nahitaji kujitolea katika ofisi yoyote ile nikiwa kama secretary, receptionst au customer care.

Nina elimu ya kidato cha nne nliyoipata ktk shule ya secondari Salma Kikwete Dar es Salaam, nina certificate ya plumbing and pipefitting niliyoipata katika chuo cha ufundi veta pia, nina certifcate ya secretarial studies.

Kwa sasa naendelea na stage II naomba nafasi hii ili kupata uzoefu kwa vitendo na kuongeza ujuzi katika kile ninachokisoma.

Ufaulu wangu ni

1. Secretarial duties B+
2. Office practice B+
3. Hatimkato B+
4. Shorthand C
5. Typing B+
6. Communication C
 
Sorry sijasomea mambo ya stational but kama utanipa maelekezo ni sawa au kama unahitaji mtu mwenye ujuzi huo tayari yupo ila tofauti na mimi
 
Back
Top Bottom