EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

Obhusegwe

JF-Expert Member
Dec 28, 2008
231
28
Hello there wana-JF!

Mimi ni mgeni katika forum hii, but i can see you are doing fine helping each other! Thats cool brothers, Keep it up!!!

Naishi hapahapa Dar, na nina plan ya kuanza ujenzi wa nyumba kwa ajili ya familia yangu, sasa nahitaji msaada wa mtu yeyote anayejua sehemu ninapoweza kupata ramani nzuri(iwe ni kwenye kampuni au mtu binafsi its ok) ya nyumba ya ghorofa moja kwa ajili ya makazi(one storey residential house)

I'll appreciate you brothers if'll get threads, i believe you can help me. Big uuuuuuuuuuppppppp!!
 
Naona wakulu wameanza kugombea mteja..Lakini mumfanzie kazi makini, hilo ndo la msingi..
 
Last edited by a moderator:
Halo

Unaweza kupata michoro ya nyumba kwenye mtandao kama huu Houseplans.com, The best house plans, home plans and floor plans collections to buy at the best prices pamoja na kwamba hii michoro ni kwa nyumba za Marekani, utapata mifano ambayo unaweza kutumia kwenye design yako.

Ni Kweli Manta. Nadhani kwa kutumia michoro mbalimbali atakayoiona huko Houseplans.com, The best house plans, home plans and floor plans collections to buy at the best prices, ataweza kushirikiana vyema na wachoraji kurekebisha na kupata nyumba atakayoipenda kwa urahisi zaidi.

Kila la kheri katika ujenzi.
 
Naomba msaada wa kupata website kwa ajili ya kucheck ramani mbaimbali za nyumba (Simple design) kama mtu anahitaji kujenga, kuna siku ilitolewa hapa JF katika moja ya post ila kwa sasa siikumbuki, natanguliza shukrani za dhati.
 
Piga namba hii upate unachohitaji!
0719 556168
Kwa faida yako ramani za kwenye web haziwezi kukidhi hitaji lako maana ni vema mtaalamu afike kwenye kiwanja chako akipime!
 
Thanx, ngoja nisubiri majibu mengine ktk ombi nililowasilisha nikikwama nitakutafuta. Maana nahitaji simple plan kwanza hata kama ya top view pekee.
 
here i am,,, a qualified architect mwana jf mwenzenu,,, use me wadau,, at cheap and affordable prices,,, pm me or just send a text o cal 0785-131616
 
Wabongo kila kitu deal, mtu kaomba website nyie mnatoa namba na kuanza habari ya cheap and affordable price. Anajua anachotafuta ni kitu simple na cha bure.
 
Wabongo kila kitu deal, mtu kaomba website nyie mnatoa namba na kuanza habari ya cheap and affordable price. Anajua anachotafuta ni kitu simple na cha bure.

Sawa mkuu, nimekuelewa na naomba radhi, maybe uelewa wangu mdogo na sikuelewa anachokitaka lakini pia sii vibaya akapata professional advice ya nyumba yake, kabla hajaanza kuijenga, datz all i meant, ila my humble appologies kwa popote nilipokosea
 
sawa mkuu,,, nimekuelewa, na naomba radhi,,,, maybe uelewa wangu mdogo, na sikuelewa anachokitaka,,, lakini pia sii vibaya akapata professional advice ya nyumba yake, kabla hajaanza kuijenga,datz all i meant,,,, ila my humble appologies kwa popote nilipokosea

By appologizing you have displayed professional ethics

I join hands with you that he needs a professional architect who can design according to user requirement , geographical aspects, topography and the size of the plot
 
by appologizing you have displayed professional ethics

i join hands with you that he needs a professional architect who can design according to user requirement , geographical aspects, topography and the size of the plot

thanxx very much 4 understanding me ndugu yangu LAT,,, i really appreciate great thinkers, and u are 1 among the very best great thinkers
 
Ahsante sn Omukuru kwa mchango wako mkubwa, na pia nawashukuru wadau wote mliochangia kwa namna moja au nyingine. Kwa asilimia kubwa itanisaidia sana, na pia nadhani itawasadia baadhi ya wana JF wenzangu kwa sasa hata siku za usoni.
 
sawa mkuu,,, nimekuelewa, na naomba radhi,,,, maybe uelewa wangu mdogo, na sikuelewa anachokitaka,,, lakini pia sii vibaya akapata professional advice ya nyumba yake, kabla hajaanza kuijenga,datz all i meant,,,, ila my humble appologies kwa popote nilipokosea

You are very professional. I appreciate that, and we need more like you. I get your point on professional advice, which we skip most of the time to cut the initial costs; but at times we spend more in correcting errors. I'm sorry too if I've been harsh.
 
nashukuru sana mkuu tumefikia muafaka mzuri bila kugombana wala kuegemea upande wowote,,,, b blessed,,, and incase of any architectural advice, ntatoa hata 4 free,, ila wen it comes to designing, ndo ntacharge kidogo
 
Na mimi nahitaji msaada wako kaka hata kama ni kwa kulipia japo kidogo
nashukuru sana mkuu tumefikia muafaka mzuri bila kugombana wala kuegemea upande wowote,,,, b blessed,,, and incase of any architectural advice, ntatoa hata 4 free,, ila wen it comes to designing, ndo ntacharge kidogo
 
Jaribu kusearch humu JF thread ya ramani za nyumba mana hii thread nafikiri itakuwa kama ya 4 au ya 5 hivi

IL Gambino.
 
Hi wana jamvi

naomba kujua wapi nitapata ramani ya nyumba (Residential ). nina hasira sana na ujenzi

asanteni
 
Back
Top Bottom