Nahitaji ramani ya Tanzania inayoonyesha angalau kata zote au vijiji vyote

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,555
44,730
Wakuu nataka kununua political map ya Tanzania hardcopy yenye location za angalau kata zote au Kama ipo yenye kuwa na vijiji vyote itakuwa vizuri nataka kujua wapi zinapatikana maana najua kuna ofisi za serikali watakuwa nazo wakuu wa mipango je hakuna duka la vifaa vya maofisini na mashuleni linalouza hizi picha za ramani.maana hata mtandaoni Nimeona zipo ramani ila zimeishia kuonyesha tawala za Wilaya na mikoa.
 
Mbona zipo na zinatembezwa na machinga mtaani

Zinaonesha hadi vijiji tena bei rahisi haizidi hata 10k Mi ninayo mmoja ilailikuwa kwa kazi maalumu
 
Wakuu nataka kununua political map ya Tanzania hardcopy yenye location za angalau kata zote au Kama ipo yenye kuwa na vijiji vyote itakuwa vizuri nataka kujua wapi zinapatikana maana najua kuna ofisi za serikali watakuwa nazo wakuu wa mipango je hakuna duka la vifaa vya maofisini na mashuleni linalouza hizi picha za ramani.maana hata mtandaoni Nimeona zipo ramani ila zimeishia kuonyesha tawala za Wilaya na mikoa.
Unataka kuifanyia nini

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Unaitaka ikiwa kweny ukubwa gan? Na material gan
Coated hata ikiwa ngumu Kama zile za picha sio mbaya...size kubwa kubwa hata ikiwa AO Safi TU yaani dimensions za 1189 mm × 841 mm.
 
Wakuu nataka kununua political map ya Tanzania hardcopy yenye location za angalau kata zote au Kama ipo yenye kuwa na vijiji vyote itakuwa vizuri nataka kujua wapi zinapatikana maana najua kuna ofisi za serikali watakuwa nazo wakuu wa mipango je hakuna duka la vifaa vya maofisini na mashuleni linalouza hizi picha za ramani.maana hata mtandaoni Nimeona zipo ramani ila zimeishia kuonyesha tawala za Wilaya na mikoa.
Inaonesha hujui unachokitafuta. Hiyo Ramani itakuwa sawa na Jengo la kitegauchumi. Utapata wapi karatasi ya kuchapa hiyo Ramani. Sana sana unaweza kupata ramani hadi Wilaya tu
 
Zipo mkuu hizo ramani unakuta ni high resolution kbs Zina details za miji midogo mpk vijiji kbs Ila ndo sijui pa kuzipata maana machinga wa kutembeza mpk umbahatishe.
 
Utakuta ramani ni ramani ya vijiji katka wilaya. Si vijiji katika Mkoa, maana vitakuwa ni vitone na maana ya ramani lazima iwe na vipimo.

Unachosema ni sahihi kabisa.
Tanzania kuna vijiji zaidi ya 10,000. Haiwezekani vijiji vyote hivi kuonekana kwenye Ramani moja yenye ukubwa A2 au A3, maana Ramani itakuwa na resolution kubwa.
 
Hiyo ramani ikipatikana itachorwa kwenye uwanja wa taifa na majukwaa kung'olewa.
Fikiria 1cm kwenye ramani iwe na km ng?

Toka dsm to kgm ni km ngap? Toka masas to krgw ni km ngp?

Haitatokea hiyo.
 
Back
Top Bottom