Nahitaji Ramani Ya Nyumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji Ramani Ya Nyumba

Discussion in 'Matangazo madogo' started by hidekel, Jul 1, 2012.

 1. h

  hidekel Senior Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi wana jamvi

  naomba kujua wapi nitapata ramani ya nyumba (Residential ). nina hasira sana na ujenzi

  asanteni
   
 2. M

  Mpalisya Imbogo Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wizara ya Ardhi ghorofa ya 8 au 9. National Housing Building Research Unit wapo Mwenge njia ya kwenda Mlimani City. baada ya hosp ya JWTZ,ni kitengo cha wizara ya ardhi wanashughulika na ujenzi wa nyumba zenye gharama nafuu.
   
 3. h

  hidekel Senior Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana
   
 4. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,920
  Likes Received: 2,069
  Trophy Points: 280
  hidekel Unatafuta architect (msanifu-majengo)? Ramani kimsingi inatakiwa kutoka kwako. Kwa kuanzia,wewe ndiye unajua unataka nini(wants and needs)! Mtafute architect, m-discuss naye mahitaji yako na kutokea hapo yeye atakushauri na/au kusanifu nyumba inayokufaa na baadae kukupa ramani tayari kwa mchakato wa ujenzi. Pamoja na maeneo walioshauri wadau hapo juu, unaweza kwenda pale chuo kukuu cha ardhi (kama lengo ni kupata architect).

  Kama ni suala la kupewa ramani tu mbona hata humu mitandaoni zipo tu!
   
 5. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Ni PM nikupe namba ya architect mzuri akuchoree ramani kwa bei poa. Tatizo lenu waswahili mkishapewa first draft kwa ajili ya kuweka sawa mnaona Kama shida imeisha mnakimbia hata humkumbuki kulipa chochote.
   
 6. A

  Akiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mimi ni muuzaji wa nyumba na viwanja na katika shughuri hizi kuna watu nafanya nao kazi ambao shughuri zao ni kuchora ramani za majengo, kama utahitaji nikukutanishe nao nipigie 0657145555 au naweza kuwakutanisha online skype. lakini uwe unamaanisha .
   
 7. mseseve

  mseseve JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Tuwasiliane nikukutanishe na mdau tena mtaelewana ni mtaalam toka uclass 0714812375
   
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  yeah tsh 160ml ni nyumba ya gharama nafuu to them and you
   
 9. h

  hidekel Senior Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wazee tuko pamoja msione kimya nafuatilia mchakato huu kwa karibu sana
   
Loading...