Nahitaji Ramani ya nyumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji Ramani ya nyumba

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Obhusegwe, Dec 29, 2008.

 1. Obhusegwe

  Obhusegwe JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2008
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 232
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Hello there wana-JF!

  Mimi ni mgeni katika forum hii, but i can see you are doing fine helping each other! Thats cool brothers, Keep it up!!!

  Naishi hapahapa Dar, na nina plan ya kuanza ujenzi wa nyumba kwa ajili ya familia yangu, sasa nahitaji msaada wa mtu yeyote anayejua sehemu ninapoweza kupata ramani nzuri(iwe ni kwenye kampuni au mtu binafsi its ok) ya nyumba ya ghorofa moja kwa ajili ya makazi(one storey residential house)

  I'll appreciate you brothers if'll get threads, i believe you can help me. Big uuuuuuuuuuppppppp!!
   
 2. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #2
  Dec 29, 2008
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Tuwasiliane (lakini kuanzia kesho). Mimi nipo Dar es Salaam, naweza kukuunganisha na Architects Qualified au hata Firms zao. Ni kazi yangu na nimechora ramani nyingi miaka ya 2003 -2005 kabla sijabadilisha kitengo na kuhamia kwenye Building Economics zaidi.

  Namba yangu na email yangu viko kwenye sahihi yangu. Maswali zaidi naweza kukujibu face to face na hata ushauri wangu kwako utakuwa bure mkuu.

  Mac
   
 3. Obhusegwe

  Obhusegwe JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2008
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 232
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Thank you Maxene, nitakutafuta kesho kwa simu. Big up Bro!!!
   
 4. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #4
  Dec 29, 2008
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Haina neno mkuu. I will anxiously be waiting for your call. Call me Maxence :)
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Baba Maurine
   
 6. Z

  Zinduka Member

  #6
  Dec 30, 2008
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Naona wakulu wameanza kugombea mteja..Lakini mumfanzie kazi makini, hilo ndo la msingi..
   
  Last edited by a moderator: Dec 30, 2008
 8. Manta

  Manta Member

  #8
  Dec 30, 2008
  Joined: Jun 4, 2008
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 9. Recta

  Recta JF-Expert Member

  #9
  Dec 31, 2008
  Joined: Dec 8, 2006
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni Kweli Manta. Nadhani kwa kutumia michoro mbalimbali atakayoiona huko Houseplans.com, The best house plans, home plans and floor plans collections to buy at the best prices, ataweza kushirikiana vyema na wachoraji kurekebisha na kupata nyumba atakayoipenda kwa urahisi zaidi.

  Kila la kheri katika ujenzi.
   
Loading...