Nahitaji ramani "simple and low cost" ya nyumba ya kuishi vyumba vinne

Sasa kama ni hivo kwanini nisiende mkoani nikaja na fundi wangu wa bei ya 1.5 kuliko wa hapa dar bei ghali?
Hii nyumba Ina 4bedrooms, room zote Ni self, public toilet 1, master bedroom 1, jiko, dinning.

Boma- fundi kachukua 1.2m
Bati+ufundi- imekula 8million
Tofali zimeondoka za 3mil.
Milango + dirisha ya chuma, imeondoka 2mil.

Nyumba imejengwa Morogoro from January to may.
Boma- limeinuliwa kwa kutumia tope.
IMG_20210424_161602_7.jpg
IMG_20210424_161436_8.jpg
IMG_20210128_144727_1.jpg
 
Mkuu ikiwa kwa design za ukuta usioonyesha bati au concrete roofing inakuwaje?
Sijui kwa kweli. Sisi huwa tunawapa mafundi ramani, wanakutolea kitu kimesimama.
Unaendelea na maisha.
Labda kama unataka nikutafutie zenye bati contemporary. Zipo nyingi tu.
 
Hata contemporary sio mbaya pia
 
Tatizo ni budget. Kama mtu angekuwa na pesa, angeajiri tu contractor akamaliza kazi.

Tatizo la vijana wengi wachora ramani, hawana maajabu halafu gharama kubwa.
Wewe mwenye maajabu chora mwenyew au tafuta fundi mchundo au ingia google tafuta utakayo tembea mbele ila ramani ya laki labda kama ni msaada sawa
 
Atakayeweka ramani nzuri nitamtaka anipe namba yake nimtumie laki anipe ramani kamili yenye vipimo nianze ujenzi.

Nahitaji ramani ya nyumba ambayo haina kelele nyingi: vumba 4 viwili master, jiko na sebule. DESIGN yake iwe simple ili nitumie gharama kidogo.

Atakayeweka na makisio ya gharama atapewa kipaumbele.

Nina 15m nataka kujenga angalu nifike 75%.
Tumia hii mwayego
IMG_20210624_105506_081.jpg
 
Atakayeweka ramani nzuri nitamtaka anipe namba yake nimtumie laki anipe ramani kamili yenye vipimo nianze ujenzi.

Nahitaji ramani ya nyumba ambayo haina kelele nyingi: vumba 4 viwili master, jiko na sebule. DESIGN yake iwe simple ili nitumie gharama kidogo.

Atakayeweka na makisio ya gharama atapewa kipaumbele.

Nina 15m nataka kujenga angalu nifike 75%.
Kam uko seriouz njoo tufanye biashara
Atakayeweka ramani nzuri nitamtaka anipe namba yake nimtumie laki anipe ramani kamili yenye vipimo nianze ujenzi.

Nahitaji ramani ya nyumba ambayo haina kelele nyingi: vumba 4 viwili master, jiko na sebule. DESIGN yake iwe simple ili nitumie gharama kidogo.

Atakayeweka na makisio ya gharama atapewa kipaumbele.

Nina 15m nataka kujenga angalu nifike 75%.
 
Attachments

  • kitanji 11.pdf
    663.9 KB · Views: 70

Similar Discussions

Back
Top Bottom