Nahitaji Porte nina milioni 5

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
368
155
Habari, nahitaji Porte CC kuanzia 1280, plate number ianzie D ofa yangu ni milioni 5 cash, nione inbox kwa maongezi zaidi. Isiwe imerudiwa rangi wala kupata ajali.
 
Ukienda show room unapata Porte Kwa milion 12 - 13.5 sasa Kwa bei ya milion 5 sidhani kama utapata alafu namba D?
Anapata bila shida. .zile gari hazina best resale value ukilinganisha na IST au Raum..
Na isitoshe namba D si tatizo...Unaweza ukapata Namba D imechoka na mwingine akawa na namba C imetunzwa vuri sana...
Kwa hiyo mleta mada nakushauri usiegemee kwenye namba D...utapigwa...tafuta namba Yoyote B, C au D yenye hali nzuri kulingana na bajeti yako....japo sina uhakika sana kama porte zipo za namba B

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IST na raum hayana shida hata kidogo hata ukikuta namba B au C hakuna mashaka Ila Porte na Ractis ni changamoto kidogo hasa Kwenye body na engine
 
Back
Top Bottom