Nahitaji pharmaceutical personnel aliyebobea.

clixus

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
810
616
Mimi kama mfamasia(pharmacist) napenda kutoa nafasi ya kazi kwa aliyebobea kweli awe na cheti cha pharmaceutical technician assistant

Location ya job ni Dar-es-salaam,,,,,ukiona una vigezo njoo PM.

NOTE: interview muhimu kwangu kukufanyia.
 
Mkuu wewe kama mfamasia niambie hapo kwenye red kapata mafunzo gani?

Mimi nawajua
Medicine Dispenser =One year training
Pharmaceutical assistant=two years training
Pharmaceutical technician = three years training
Pharmacist = four years training

Huyo unaemtafuta wewe awe na elimu gani?
 
Nashukur umeweza chambua vizur mwenyew hapo kweny miaka miwili ndo namtafuta.

Alaah basi kulingana na sheria ya famasi sheria namba 1 ya mwaka 2011 inamtambua kama Pharmaceutical Assistant na sio Pharmaceutical Technician Assistant.

Kila la heri.

Sawa your right.

Pharmacist anaweka cheti na anakuwa supervise wa hiyo pharmacy husika

Ila wanaofanya kazi sana huwa ni pharmaceutical technicians ni pharmaceutical assistants
Kufanya kazi pharmacy unatakiwa kuwa nani? Assistant au pharmacist kamili?
 
Pharm tech na pharmaceutical technician sio ni
Pharmacist anaweka cheti na anakuwa supervise wa hiyo pharmacy husika

Ila wanaofanya kazi sana huwa ni pharmaceutical technicians ni pharmaceutical assistants
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom