Nahitaji partner kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama (broiler)

Upo sahihi, umenena vema na nimekuelewa. Wengine ni mamotivation speaker. Yaan ufugaji wa makaratas unaweza pasuka
Kuku 2000
Starter 20 @ 63000= 126000
Glower 40@61000= 2440000
Finisher 20@60000= 1200000
Chanjo 10000
Madawa 300000
Ume/joto 300000
Matandiko 100000
Maji 100000
Hiyo gharama halo juu ni 6M jumlisha vifaranga 4M jumla mkuu ni 10M
Mauzo
Kuku mmoja sasa ni 6000 × 2000= 1200000 faida ni 2M over
Nasema uongo ndugu zangu
 
Embu acha kutudanganya eti hata kuku Wote wakiumwa haifikia 50k, trisul lita Moja 80,000, dawa ya kupuliza bandani TH4, 5000, Dawa yakuingizia colaxan/trimafarm 9000,chanjo newcastle/gumboro 5000, vitamin 12000-15000, protein C 17000, hapo uwape trisul wasipone ukimbilie kwenye madawa mengine mengi si chini ya 12000 gram mia, sasa kwa kuku tuchukulie 2000 mpaka wamalize dozi ya siku tano si chini ya gram 1200 means ni 12000×12= 144,000, nachotaka kusema ni kwamba ufugaji wa broiler madawa yanagharama sanaa unaweza ukachizika wacha kupotosha watu.

PERIOD.
Wale kuku wamejaa madawa sanaaa aiseee.....alafu hawana hata radha kabisaaaaa....
 
Nani kakudanganya kuku 2000 wanakula viroba 30!!!, kaka mimi nafuga uwezo wangu ni broiler 600 na hao nawatoa kutegemea na soko lilivyo muda huo, kama soko ni zuri nawatoa kuanzia siku 24/25 na hapo wanakuwa weshakula viroba mpaka 22, lakini ukivuta mpaka siku 28 wanakula mpaka viroba 24, baada ya hapo anza kuhesabu maumivu, kwa kuwa bei za mbagala na maeneo ya karibu yake kuku hafiki sh 6000/= mwisho ni 5700/ 5800, kuhusiana na madawa pia si kweli kuku 2000 watumie 50k.
Aliyekupa hiyo hesabu kakupoteza.
Mimi nawafuga broiler nawajua kiasi, hao wadudu wakifika wiki ya tatu wanakula mpaka waweza changanyikiwa, kwangu wakifika muda huo lazima wadondoshe kiroba kila siku.
NISAIDIE NINATAKA KUANZA NA BROILER 200 TU NATAKIWA KUWA NA SH NGAP BANDA NINALO TAYAR
 
NISAIDIE NINATAKA KUANZA NA BROILER 200 TU NATAKIWA KUWA NA SH NGAP BANDA NINALO TAYAR
Broila 200 watumia Chakula mifuko 8
,Starter 2(68000),grower 2(66000),finisher 4(65000)
Bei zinatifautiana kulingana na maeneo finisher zina bei ndogo kuliko starter.
Madawa weka 50,000 pemben
Maji na umeme ....15000
Mkaa wa kujenga joto bandan...10,000

Lenga kuwauza mapema wakiwa na wiki 3 wakiwa wamekula mifuko 6-7
 
Embu acha kutudanganya eti hata kuku Wote wakiumwa haifikia 50k, trisul lita Moja 80,000, dawa ya kupuliza bandani TH4, 5000, Dawa yakuingizia colaxan/trimafarm 9000,chanjo newcastle/gumboro 5000, vitamin 12000-15000, protein C 17000, hapo uwape trisul wasipone ukimbilie kwenye madawa mengine mengi si chini ya 12000 gram mia, sasa kwa kuku tuchukulie 2000 mpaka wamalize dozi ya siku tano si chini ya gram 1200 means ni 12000×12= 144,000, nachotaka kusema ni kwamba ufugaji wa broiler madawa yanagharama sanaa unaweza ukachizika wacha kupotosha watu.

PERIOD.
Mkuu,madawa mimi nafuga kuku 500,ila madawa haizidi 20,000.

Kuna madasa kibao umeyataja sijawahi kuyatumia kabisa.
 
Mkuu,madawa mimi nafuga kuku 500,ila madawa haizidi 20,000.

Kuna madasa kibao umeyataja sijawahi kuyatumia kabisa.
Hongera Mkuu, kufuga Kuku 500 na madawa yasizidi elf 20 sio Jambo dogo, kama hutojali tusaidie ni dawa zipi unazotumia hadi gharama isifike elf 20 niko curious
 
Brother... Unaposema Pesa ndefu mnoo ni kiasi gani hiko? Ni kweli kifaranga kimoja ni 2000/= Hivyo vifaranga 2000 ni 4M.

Chakula cha kulisha vifaranga 2000 tutahitaji viroba 30, ambavyo bei itacheza kwenye 53,000/ hadi 62,000/= kwa kiroba. Tufanye 1.9M.

2M + 1.9M = 4M, Madawa hayana bri kabisaa na ni hadi kuku watakapoumwa, hata kuku wote wakiumwa madawa hayatazidi Tsh 50K.

Ok tuje kwa upande wa faida, kuku mmoja 6500/=, kwaiyo kuku 2000 ni 13,000,000/=.

13,000,000 - 4,000,000 = jibu utakua nalo

Kumbuka kuku hao tutauza baada ya week 2 hadi 3.

Sasa kaka unaposema pesa ndefu bila ya kuweka maelezo yaliojitosheleza mtu hatokuelewa ni urefu upi huo. Kumbuka pia mabanda yanaingiza kuku 6000.

Huu ni ufugaji biashara mkuu wenye faida, karibu tufuge kibiashara.
Mkuu kwa hesabu hizo na hiyo faida wewe umeshindwaje hata ujikute imebaki na mabanda matupu?
 
Broila 200 watumia Chakula mifuko 8
,Starter 2(68000),grower 2(66000),finisher 4(65000)
Bei zinatifautiana kulingana na maeneo finisher zina bei ndogo kuliko starter.
Madawa weka 50,000 pemben
Maji na umeme ....15000
Mkaa wa kujenga joto bandan...10,000

Lenga kuwauza mapema wakiwa na wiki 3 wakiwa wamekula mifuko 6-7
Ila mimi nashauri hawa broiler ukimaliza kuwapa grower rudia tena kuwapa starter, achana kabisa na finisher mtakuja kunishukuru.

Tena chakula cha mchina ndio chenyewe hakuna harufu ya kinyesi wala huwezi kugombana na majirani.

Achana na vyakula wanavyoweka chumvi eneo lote linanuka kinyesi cha kuku.
 
Nani kakudanganya kuku 2000 wanakula viroba 30!!!, kaka mimi nafuga uwezo wangu ni broiler 600 na hao nawatoa kutegemea na soko lilivyo muda huo, kama soko ni zuri nawatoa kuanzia siku 24/25 na hapo wanakuwa weshakula viroba mpaka 22, lakini ukivuta mpaka siku 28 wanakula mpaka viroba 24, baada ya hapo anza kuhesabu maumivu, kwa kuwa bei za mbagala na maeneo ya karibu yake kuku hafiki sh 6000/= mwisho ni 5700/ 5800, kuhusiana na madawa pia si kweli kuku 2000 watumie 50k.
Aliyekupa hiyo hesabu kakupoteza.
Mimi nawafuga broiler nawajua kiasi, hao wadudu wakifika wiki ya tatu wanakula mpaka waweza changanyikiwa, kwangu wakifika muda huo lazima wadondoshe kiroba kila siku.
Kiongozi naomba nikuulize kidogo. Pale wanapokuwa wanadondosha mpaka kiroba kwa siku upatikanaji wa mbolea unakuwaje???
 
Vifaranga vya broiler vinapatikana jumamosi wa siku 1
Box ni laki 22000 @ 102
Ofisi zetu zipo banana njia ya kitunda tupigie no. 0789411234 kwa oda yako
FB_IMG_1645452373371.jpg
 
Back
Top Bottom