Le mobimba
Member
- Dec 1, 2020
- 88
- 152
Wacha kupotosha umma hakuna broiler anaeuzwa baada ya wiki mbiliBrother... Unaposema Pesa ndefu mnoo ni kiasi gani hiko? Ni kweli kifaranga kimoja ni 2000/= Hivyo vifaranga 2000 ni 4M.
Chakula cha kulisha vifaranga 2000 tutahitaji viroba 30, ambavyo bei itacheza kwenye 53,000/ hadi 62,000/= kwa kiroba. Tufanye 1.9M.
2M + 1.9M = 4M, Madawa hayana bri kabisaa na ni hadi kuku watakapoumwa, hata kuku wote wakiumwa madawa hayatazidi Tsh 50K.
Ok tuje kwa upande wa faida, kuku mmoja 6500/=, kwaiyo kuku 2000 ni 13,000,000/=.
13,000,000 - 4,000,000 = jibu utakua nalo
Kumbuka kuku hao tutauza baada ya week 2 hadi 3.
Sasa kaka unaposema pesa ndefu bila ya kuweka maelezo yaliojitosheleza mtu hatokuelewa ni urefu upi huo. Kumbuka pia mabanda yanaingiza kuku 6000.
Huu ni ufugaji biashara mkuu wenye faida, karibu tufuge kibiashara.