Nahitaji Partner katika Biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji Partner katika Biashara

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ona Sasa, Feb 10, 2012.

 1. Ona Sasa

  Ona Sasa Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Kuna biashara nzuri na yenye faida nzuri na yenye kuleta matumaini. Biashara yenyewe ni ya ubunifu sio ya kuiga, hivyo anahitajika mtu aliye committed pia awe mtu anayeamini in success.

  kwa aliye tayari kuungana na mimi katika biashara hii na nyingine zitakavyojitokeza namkaribisha. Tuwasiliana 0713 583 582

  Twaweza kuwa na business ideas zikakaa bila kutumika wakati mitaji ipo imekaa bila kutumika

  'EMPTY POCKETS NEVER HELD ANYONE BACK, ONLY EMPTY HEADS AND HEARTS CAN DO THAT'

  -Norman Vincent Peale
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Biashara gani?
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,177
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Partner wa biashara anatafutwa kwa njia ya mtandao
  hata kama biashara ni ya ubunifu
  Hivi huyo mtu una historia nae
  Uaminifu vipi kwenye biashara yenyewe
   
 4. Ona Sasa

  Ona Sasa Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Inawezekana kabisa kupata partiner kwenye mtandao sababu hakuna shughuli ambayo inaanza billa maandalizi hivyo si jambo la ajabu kukutana na reliable person kwenye mtandao.

  Najua kila mtu anajua anatafuta nini kwenye mtandao lakini suala la uaminifu na commitment haliangalii mtu amepatikana wapi la msingi ni kuwa makini all the time
   
 5. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Pm me if I can buy that. . .
   
 6. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni juavyo mimi kupata patiners kwenye biashara ni zaidi ya kumtafuta mchumba, patiners wa biashara inahitaji muda mwingi sana wa kumsoma mkuu,

  - Na ni lazima umpe mtihani kwanza, Tatizo linakuja kwamba ukimwamba watu wengi wakisha sikia biashara au kampuni wanafikilia faida tu lakini hawajui kwamba kuna kutumia nguvu sana kujitoa mhanga.

  NA JIULIZE MASWALI HAYA KABLA YA KUMPATA PATINA
  1. Je rafiki yangu huwa ananisikiliza ninavyo ongelea jmabo la baiashara au huwa ananikatisha kabla sijamaliza?

  2. Je atachukulia maanani aidea yangu? au ataiiba na kufanya yake?

  3. Je rafiki yangu huyu huwa anakuja kwangu kwa ushauri?

  4. Je ninapo kuwa na mpinga kuhusu jambo fulani huwa na pay atention? au huwa anadharau?  MKUU ILI KUMPATA PATINERS WA BIASHARA NI BORA KUTUMIA MBINU HIZI

  1. Patina ambaye ana endana na spirit yako ya kikjasiriamali
  2

  2. Anaye weza kuleta ujuzi na uzoefu katika biashara

  3. Patina ambaye hana matatizo mengi sana ya kifamilia make anaweza hamishia matatizo ya kifamilia na matatizo mengine kwenye biashara yenu

  4. Amabye ni finacialy stable, si patina wa kuganga njaa

  5. Passionate patiners,

  6. Ambaye ni mwelewa

  7. partner who is ready to work also somebody who is ready to take the business to any length and not just a lazy noob who don't know how to play smart.

  8. Creativity partners  FAIDA NA HASARA YA BUSINESS PATINERS

  1. kuchangia ghalama za biashara

  2. kushare najukumu kwenye kampuni

  3. kushare risk ya biashara

  4. Kupeana moyo

  MADHARA YAKE

  1. Patiner wako anaweza kukuacha katika kipindi kibaya sana na madeni yote ya baishara yakaa juu yako

  2. Mtakuwa mnachangia faida/kugawana faida

  3. Huwezi kuwa na maamuzi ya mwisho katika baishara/razima wote mtoe maamuzi kuhusu baishara na mnapo pishana na mziki unaanzaia hapo

  4. A friendship may not survive a partnership. Keep in mind John D. Rockefeller's famous words: "A friendship founded on business is a good deal better than a business founded on friendship
   
 7. mase88

  mase88 JF-Expert Member

  #7
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  partner wa bizness lazma muwe na communication ya kutosha ndo ebu ni check nikushaurijonasmase@gmail.com
   
 8. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #8
  Feb 13, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  mkuu nakupa big up sana, hii imetulia sana na inabidi ni copy na kuipest make itanisaidia sana katika shughuli zangu, asante sana mkuu wa michango yako
   
 9. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #9
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,046
  Likes Received: 7,257
  Trophy Points: 280
  Ok,
  Tufanye niko tayari, natakiwa niwe Na kianzio cha Tshs ngapi??
  Ni-PM more details about the business
   
 10. H

  Hkeen Member

  #10
  Feb 13, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii imenifaidisha zaidi
   
 11. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu kupata Partner humu ni kazi ngumu lakini sio kazi ngumu sana ukiwa na muda wa kutosha kufanya research humu jamvini kuliko kupublish kwa dizaini hii... Yeah! Kuna watu humu kama MALILA, LAT, AMOEBA, ENTREPREUNEUR ni watu wenye idea nzuri ya ujasiriamali...
  Kwa sababu humu JF kuna watu wanaonekana ni wastaarabu kwa mawazo yao na Post kumbe ni matapeli,waongo,wezi wa kutupwa mimi nimeshakutana nao, kiustaarabu nimeamua kuminya sitaki kupublish ID zao lakini Be Watchfull
   
 12. Ona Sasa

  Ona Sasa Member

  #12
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  "Dependent people need others to get what they want. Independent people can get what they want through their own effort. Interdependent people combine their own effort wih the effort of others to achieve their greatest success."

  - Stephen Covey
   
Loading...