Nahitaji paka mweupe

kancher

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
463
461
Husika na kichwa cha habari hapo juu, nahitaji paka mwepe asiye na doa la rangi yeyote ile. Kama unaye au ukanipa connection ya kuweza kumpata tuwasiliane kupitia simu no:

Kwa wakazi wa Dar.. Ili iwe rahisi usafiri ktj kufanya biashara.
 
ukipata wawili naomba unipe mmoja, paka weupe ni wazuri sana, ukiwafuga wanapendezesha nyumba halafu nyumba inakuwa na utulivu mkubwa.... mkuu ukipata na njiwa mweusi naomba unipatie pia jogoo mweusi... hawa wanyama kwa kweli ni muhimu kuwa nao nyumbani kwa matumiz mbali mbali hada inapotokea dharura pale jirani anapojifanya kila siku anapika nyama kudadeki ukiona tu paka kalia nyaaaaaaauuuuu.... jirani tunamsahau
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu, nahitaji paka mwepe asiye na doa la rangi yeyote ile. Kama unaye au ukanipa connection ya kuweza kumpata tuwasiliane kupitia simu no:

Kwa wakazi wa Dar.. Ili iwe rahisi usafiri ktj kufanya biashara.
Yupo mkuu ninaye
 
Cc Mshana Jr anakaribia kufika sasa hujasema paka wa umri gani, kuna mapaka makubwa kama jibwa aseee, sema paka mkubwa vipi???? la sivyo mshana atasema kitu tumsikilize tafadhali....
 
Back
Top Bottom