Mkuu nimekuPM
Haha unamaana gani mkuu??Wewe siyo wale mamiwani nyeusi?
Wale jamaa wa kaunda suit na miwani nyeusiHaha unamaana gani mkuu??
Hahah usiogope mkuu, kawaida tuWale jamaa wa kaunda suit na miwani nyeusi
MaJamaa yana roho mbaya utaulizwa nyie ndiyo mnaoitukana serekali tupe I'D yako huko wanaendelea kukungoa kucha daaaaah. ...Hahah usiogope mkuu, kawaida tu