Nahitaji nyumba ya kupanga

miss mkweli

Member
Oct 30, 2010
14
0
Wanajamii nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya sinza, mwenge, kijitonyama au kinondoni. Kodi isizidi laki mbili na nusu kwa mwezi. wasiliana nami 0713775173 au 0757818564
 
tafta madalali maeneo ya mwenge wapo wengi sana kazi yako itakuwa rahisi sana
 
Back
Top Bottom