NAHITAJI NYUMBA YA KUPANGA MOROGORO

tst

tst

Member
Joined
Jul 30, 2017
Messages
49
Likes
10
Points
15
tst

tst

Member
Joined Jul 30, 2017
49 10 15
Mwenye kujua maeneo mazuri karibu na stendi kuu msamvu
Sifa ya nyumba:
Iwe na vyumba 2 vya kulala kimoja master
Sebule
Jiko
Naombeni msaada wa dalali bei isidi laki na 30
 
Jogoo wa Shamba II

Jogoo wa Shamba II

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Messages
2,576
Likes
4,332
Points
280
Jogoo wa Shamba II

Jogoo wa Shamba II

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2013
2,576 4,332 280
sogea vijiweni uulizie wananzengo
 
fagix

fagix

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Messages
635
Likes
425
Points
80
fagix

fagix

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2015
635 425 80
Mkuu kwa msavu, ushai kuishi moro mzee
 
tst

tst

Member
Joined
Jul 30, 2017
Messages
49
Likes
10
Points
15
tst

tst

Member
Joined Jul 30, 2017
49 10 15
Nyumba iwe na sifa zifuatazo:
Maeneo ya forest au samaki samaki
Vyumba 2 vya kulala kimoja master
Sebule+gypsam+tyless
Jiko la kujitegemea
Iwe ndani ya fensi
Maji 24hr
Ofa yangu 150000
 
ZOPPA

ZOPPA

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2017
Messages
2,509
Likes
2,459
Points
280
ZOPPA

ZOPPA

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2017
2,509 2,459 280
kwa morogoro maeneo mazuri ya kuishi forest kionda magolofani modeko nanenane kilakala ILA kuna Sehemu nyumba ipo unayotaka wewe na sifa zake zote adi umeme unajitegemea ipo maeneo ya kihonda majengo mapya tatizo kubwa ni maji yanatoka wiki adi wiki kama utaipenda tuwasiliane pia kuna nyumba nyingne ipo maeneo ya boma road nyumba ipo kwa sifa ulizotaka ila mama mwenye nyumba ataki mtu mwenye familia anataka single na awe mlevi na mnzinzi pia kama ita kufaha nipm
 
tst

tst

Member
Joined
Jul 30, 2017
Messages
49
Likes
10
Points
15
tst

tst

Member
Joined Jul 30, 2017
49 10 15
kwa morogoro maeneo mazuri ya kuishi forest kionda magolofani modeko nanenane kilakala ILA kuna Sehemu nyumba ipo unayotaka wewe na sifa zake zote adi umeme unajitegemea ipo maeneo ya kihonda majengo mapya tatizo kubwa ni maji yanatoka wiki adi wiki kama utaipenda tuwasiliane pia kuna nyumba nyingne ipo maeneo ya boma road nyumba ipo kwa sifa ulizotaka ila mama mwenye nyumba ataki mtu mwenye familia anataka single na awe mlevi na mnzinzi pia kama ita kufaha nipm
Duu!!hiyo haitanifaa coz niko na famil
 
fagix

fagix

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Messages
635
Likes
425
Points
80
fagix

fagix

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2015
635 425 80
Kwa Moro kupata maji 24hrs mh! Labda mazimbu
 
A

analia2

Member
Joined
Jan 6, 2014
Messages
16
Likes
2
Points
5
A

analia2

Member
Joined Jan 6, 2014
16 2 5
Mwenye kujua maeneo mazuri karibu na stendi kuu msamvu
Sifa ya nyumba:
Iwe na vyumba 2 vya kulala kimoja master
Sebule
Jiko
Naombeni msaada wa dalali bei isidi laki na 30
Ninayo tuwasiliane 0785068996
 
P

platun

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2014
Messages
218
Likes
57
Points
45
P

platun

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2014
218 57 45
kwa morogoro maeneo mazuri ya kuishi forest kionda magolofani modeko nanenane kilakala ILA kuna Sehemu nyumba ipo unayotaka wewe na sifa zake zote adi umeme unajitegemea ipo maeneo ya kihonda majengo mapya tatizo kubwa ni maji yanatoka wiki adi wiki kama utaipenda tuwasiliane pia kuna nyumba nyingne ipo maeneo ya boma road nyumba ipo kwa sifa ulizotaka ila mama mwenye nyumba ataki mtu mwenye familia anataka single na awe mlevi na mnzinzi pia kama ita kufaha nipm
Hapa ulimaanisha asiwelevi wala mzinzi au ni kama ilivyo
 
B

Babia Ndonga Shokoloo

Member
Joined
Mar 6, 2017
Messages
27
Likes
14
Points
5
B

Babia Ndonga Shokoloo

Member
Joined Mar 6, 2017
27 14 5
Bei za numba moro zikoje ...maeneo ya kihonda na modeko. Nahitaji vyumba viwili na sebule
 
Forum statistics

Threads 1,250,497
Members 481,367
Posts 29,735,645