Nahitaji nyumba nzima ya kupanga Ubungo, Mwenge, na Kimara

buffalo44

JF-Expert Member
May 8, 2016
3,069
6,075
Salaam wakuu.
Kuna shughuli imepatikana kufanyikia Dar Es Salaam. Inahitajika nyumba nzima yenye vyumba 3 vya kulala sebure, jiko na iwe na uzio. Iwe rahisi kufikika na usafiri wowote isiwe ndani ndani sana.
Kodi iwe kuanzia 500k to down.
Madalali naomba mnisamehe hela yenu sina Napendelea wamiliki wenyewe maana shughuli ni maalumu sana.
Kama kuna mmliki mwenye nyumba hiyo naomba anitafute kwa namba hiyo hapo chini.
Tahadhari USIPIGE tumia SMS au WhatsApp.
0762179938 (WhatsApp).
0674758576 (SMS).
Ahsante sana.

Sinza pia nipo tayari.
 
Ukiongeza wigo wa maeneo utapata,mfano sinza nyumba za gharama hiyo tena pungufu kidogo utapata usijilimit sana nenda katafute na sinza hutakosa
 
Mods nisaidie kuweka na Sinza kwenye heading.
 
Ukiongeza wigo wa maeneo utapata,mfano sinza nyumba za gharama hiyo tena pungufu kidogo utapata usijilimit sana nenda katafute na sinza hutakosa

Unafahamu sinza eneo gani linafiti sifa nilizotaja.
 
Usingetaja kiasi unachoweza kulipa.. hata wa 250k atasema anapanga kwa labda 450k.. nionavyo mimi..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom