Nahitaji Notes za History, Kiswahili na English za A Level. Nitazinunua kwa bei nzuri sana

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,658
3,646
Wakuu habari?

Naomba mwenye notes za History, Kiswahili na English za A Level tuonane. Nitaomba aniuzie.

Nitamlipa vizuri.

Njoo PM.

Asanteni.
 
Download app ya thl ina kila kitu humo plus past papers za miaka mabalimbali ila ni ya kulipia,lakini bei ni sawa na bure tu
 
Asante. Ila siwezi kulipia bila kumjua mmiliki. Kuna kuibiwa ndio maana nataka kutoka kwa watu.
 
Duh thl app huifahamu? anyway hiyo app hata sio bei ni elfu 2000 kwa mwezi Kama sikosei maana niliitumia siku nyingi,hizo notes unazozitaka zipo zote kuanzia primary mpaka chuo kwa levo ya certificate na diploma,nenda playstore huko utaikuta
 
Mimi nataka notes kutoka kwa waalimu wabobezi. Nimesema nitamlipa vizuri. Huoni kuwa natangaza rizki kwa watu? Wewe unanitaka nichukue kwenye app. Mimi sitaki notes za kwenye app.
 
Back
Top Bottom