Nahitaji nafasi ya kujitolea kwenye NGO Kenya

Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,779
14,377
Habari wandugu!

Ningependa kuja Kenya kujitolea kwa kazi za kijamii kwenye NGO yeyote hapo kenya kwenye mkoa wowote nina shahada ya kwanza ya social work na uzoefu wa miaka mitano.

Nitajigharamia kwa chakula, makazi, matibabu na gharama zote muhimu niwapo Kenya.

Shukrani wandugu.
Humble african.
 
Back
Top Bottom