Nahitaji nafasi ya kazi Mimi ni clinical officer

Twyn

JF-Expert Member
Dec 19, 2020
998
545
Wakubwa shikamooni,habarini jamani.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24,nimemaliza mwaka 2020 clinical officer.Natafuta nafasi ya kazi kwenye vituo cha afya chochote,au uuzaji pharmacy.naombeni msaada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom