Nahitaji mwenza wa maisha.

Sista Sophia

Member
Feb 6, 2010
50
26
Habari zenu wana jamii forums.
Jamani mwenzenu nahitaji mwenza,umri unanituma mkono.
>Umri wowote ule isiwe zaidi ya 50.Mie nina 29 years old almost kama 30 hivyo naona umri unakimbia.

>Awe na dini yoyote, mie muislamu ila naweza kubadili dini nikipata mkristo.

>Elimu atleast awe na bachelor, mimi nina masters.

>Awe mtu anayejipenda, i mean awe smart.

Sina mengi zaidi ni hayo tu.Mwenye sifa atume maombi.
 
Wewe dada Sofia wengine tumeolewa tukiwa na 40 wala hatukuhofu umri kukimbia .. sasa tunaonja maisha katika mwanga bora .....
heheheh hapa JF utampata tu mwenza wako usihofu..
lakini pia usisahau kuomba upate mme mwema
 
If you mean business usiwe strict sana na vigezo ulivyoweka, maana otherwise ungeshampata siku nyingi unayeendana nae!..

Pia ujue kwamba baadhi ya characters huanza pale mtakapokuwa pamoja, so usilazimishe mtu awe navyo kabla ya kuoana, ndio maana ya ndoa-new couple with new ways of life!

Be Patient, ngoja watu wanywe chai wataku-pm!
 
Habari zenu wana jamii forums.
Jamani mwenzenu nahitaji mwenza,umri unanituma mkono.
>Umri wowote ule isiwe zaidi ya 50.Mie nina 29 years old almost kama 30 hivyo naona umri unakimbia.

>Awe na dini yoyote, mie muislamu ila naweza kubadili dini nikipata mkristo.

>Elimu atleast awe na bachelor, mimi nina masters.

>Awe mtu anayejipenda, i mean awe smart.

Sina mengi zaidi ni hayo tu.Mwenye sifa atume maombi.

Umechelewa Kidooogo
 
Hujachelewa mama utampata tu ila usiwe na masharity kibao we omba Mungu akupe mwenza mwema. Umri usiwe na shida b'se age is nothing but a number!
 
Habari zenu wana jamii forums.
Jamani mwenzenu nahitaji mwenza,umri unanituma mkono.
>Umri wowote ule isiwe zaidi ya 50.Mie nina 29 years old almost kama 30 hivyo naona umri unakimbia.

Ohh. umekumbuka shuka usubuhi eeh? Nways, nataka kujua uzito wako ktk kg nikuelekeze kwa mtu descent kabisa ambaye yuko serious.

NB: I assume hauna uhusiano na UWT.
 
Habari zenu wana jamii forums.
Jamani mwenzenu nahitaji mwenza,umri unanituma mkono.
>Umri wowote ule isiwe zaidi ya 50.Mie nina 29 years old almost kama 30 hivyo naona umri unakimbia.

>Awe na dini yoyote, mie muislamu ila naweza kubadili dini nikipata mkristo.

>Elimu atleast awe na bachelor, mimi nina masters.

>Awe mtu anayejipenda, i mean awe smart.

Sina mengi zaidi ni hayo tu.Mwenye sifa atume maombi.
Hii imekaa ki-zekomedi komedi hivi. Ingefaa zaidi ku-feature kwenye jokes forum!
 
Ohh. umekumbuka shuka usubuhi eeh? Nways, nataka kujua uzito wako ktk kg nikuelekeze kwa mtu descent kabisa ambaye yuko serious.

NB: I assume hauna uhusiano na UWT.

Duh,uzito wa nini au ni katika harakati za kuavoidi makonde siku ya siku,teh teh
 
Habari zenu wana jamii forums.
Jamani mwenzenu nahitaji mwenza,umri unanituma mkono.
>Umri wowote ule isiwe zaidi ya 50.Mie nina 29 years old almost kama 30 hivyo naona umri unakimbia.

>Awe na dini yoyote, mie muislamu ila naweza kubadili dini nikipata mkristo.

>Elimu atleast awe na bachelor, mimi nina masters.

>Awe mtu anayejipenda, i mean awe smart.

Sina mengi zaidi ni hayo tu.Mwenye sifa atume maombi.

Unahitaji mwenza wa jinsia gani?
Wewe ni he/she?
 
>Awe mtu anayejipenda, i mean awe smart.

Sina mengi zaidi ni hayo tu.Mwenye sifa atume maombi.

Mbona hilo neno lenyewe limebeba mambo mengi mno?

Nways kila la kheri; bahati mbaya dini yangu hairuhusu mke wa pili ningekuombea ruhusa ka mama jr
 
asikudanganye mtu dadangu huo umri umesogea sana kwa mwanamke, sababu moja kubwa ni kuwa wanawake wanawahi kuzeeka, usiweke vikwazo sana lakini na hilo la masterz nadhani kwa wanaume wengi ni kikwazo (kwa mtazamo wangu lakini), hivyo jaribu kuliweka pembeni kidogo hayo mambo mwenzio atayafahamu ndani ya nyumba
 
Sista sophia,
Akili kichwani yupo kwenye mchakato huo.Nadhani its a coincidence na kwa vigezo vyake naona mnaendana.si uchangamkie hiyo tenda?
 
Nani kakuambia anatafuta mume? Umejuaje kama yeye ni mwanamke?
Nani kakuambia anatafuta mume? ........ YEYE MWENYEWE
Umejuaje kama yeye ni mwanamke? ................. JINA LAKE

Kwani CHRISPIN ni jina la mwanamke au mwanaume...........????
 
Hapana! Amesema anatafuta MWENZA. Anaweza kuwa mwanamke anayetaka kuoa mwanamke mwenzie. Au anaweza kuwa mwanaume pia.
Jina Si Kigezo. Kuna watu wanaitwa anti Oliver lakini ni wanaume.
Chrispin ni jina la mwanaume kwa kuwa mwanaume huyu alithibitisha kuwa yeye ni mwanaume.
 
A.K.A
Baba Matesha........................
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom