Nahitaji mwenza/mke wa maisha

Kwahiyo hunitaki mkuu
Mh, sisemi kwa ubaya. Sipendelei mtu mnene sana.

Fanya mazoezi ya kawaida tu halafu uwe na discpline katika kula.

Mimi mwenyewe 8 years ago hv nilikuwa na mwili sana kwa sababu nilibadilisha lifestyle halafu niliridhika mno. Ila mbeleni nilianza kuwa mvivu na mzembe, kichwa kuuma, kusahau sahau, oversweating na the like

Nilienda hos, daktari akanishauri kwa urefu wangu nisizidi kilo 78.
Nikalifanyia kazi hilo, nikapambana kweli kweli. Naupenda mwili wangu, sasa hivi nimekuwa mwepesi,....na sijaumwa mwaka wa tano sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank you kwa ushauri ntaufanyia kazi, kila rakheri upate hitaji lako, ukikosa kabisa tuone tunafanyaje huenda ntakua tayari nishapungua maana naanza diet sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom