Nahitaji mwanasheria

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,729
5,923
Wapendwa,
Naomba kwa mwanasheria yoyote ambaye atakua tayari kunisaidia naomba tuwasiliane pm ...


Kuna Jambo ambalo nahitaji msaada na muongozo ,
Na hatimaye kufungua kesi ...

Na anisimamie hiyo kesi ..

Maelezo yote tutapeana,

Natanguliza shukran
 
Uko wapi wewe? Nitashangaa kama upo mjini na hujui mawakili wanapatikana wapi hata kwa kujaribu kuulizia tu!
 
Wapendwa,
Naomba kwa mwanasheria yoyote ambaye atakua tayari kunisaidia naomba tuwasiliane pm ...


Kuna Jambo ambalo nahitaji msaada na muongozo ,
Na hatimaye kufungua kesi ...

Na anisimamie hiyo kesi ..

Maelezo yote tutapeana,

Natanguliza shukran
Sijasoma comments: lakini ungetaja unahitaji msaada generally upande gan? Matrimonial. Business, kazi, probate au nin watu wajiaccess mapema. Sio kila adv ni mahili kwenye kila kesi
 
hakuna wanasheria humu mtu anaomba msaada hata mimi sijui wanasheria wanapatikana wapi
 
Back
Top Bottom