Ptheducer15
Member
- Oct 18, 2012
- 22
- 3
Mimi ni kijana nmezaliwa tarehe 2 jan 1986. Umri unakwenda na sasa najisikia niko tayari kuwa na mke na kuanza maisha ya familia. Mimi ni mkristo hivyo nahitaji mwanamke mkristo na mweye hofu ya Mungu. Mimi sinywi pombe wala sivuti sigara....
Nahitaji mwanamke mwenye mwili wa kawaida/mwembamba na asiwe mfupi rangi yeyote ila kama ni mweupe usiwe wa mkorogo. Umri kuanzia 21-27
nenda katafute mke mtaani kwenu au kijijini kwenu humu wote ni wake na waume za watu..
humu hamna wanawake ww kuna mashankupe tu
Mh usitusemee wengine huku bado......[/QUO
Hahahajaha umeona anakuzibia eee
Kwani mke bila ATM hapatikani?ATM yako ina kiasi gani?
Ndo changamkia hiyo fursa maana watu hawachelewi kugeneralizeMh usitusemee wengine huku bado......