Nahitaji mwanamke wa kuwa mke

ushafanya uzinz weee xaxa unataka kuoa.jitahidi kuchagua ukioa ambaye co bikira ujue ni demu wa mtu.
 
dah ama watu wameamua kuvunja ukapera.hope utafanikiwa kumpata lakin kwa humu jf....mhhhh
 
Mkuu tembelea haya maeneo utapata mke mwema
msibani
makanisani
misikitini
kwenye maharusi
kwa wapenda hela kama vyuoni kumbi za starehe kwa wauza kuku
na mwisho kabisa tafuta hela watakuja wao wenyewe kwa kigezo cha hela
Mimi ni kijana nmezaliwa tarehe 2 jan 1986. Umri unakwenda na sasa najisikia niko tayari kuwa na mke na kuanza maisha ya familia. Mimi ni mkristo hivyo nahitaji mwanamke mkristo na mweye hofu ya Mungu. Mimi sinywi pombe wala sivuti sigara....
Nahitaji mwanamke mwenye mwili wa kawaida/mwembamba na asiwe mfupi rangi yeyote ila kama ni mweupe usiwe wa mkorogo. Umri kuanzia 21-27
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom