Nahitaji mwanamke wa kumlipa anizalie mtoto kwa mkataba.

Kijana,nilichokuambia kina mtazamo chanya tatizo umeshindwa kunielewa,enwey,hebu msome Asprin upya utapata faida,hata Lizzy anajitahidi kukuelewesha lakini inaonekana unamatatizo ya kuelewa!
 
Last edited by a moderator:
kwani huyo mtoto anaenda kuchinjwa?
Kama atahitaji kurenew mkataba anaruhusiwa
hapo tatizo lipo wap?
Mpaka hapo umeongeza sababu nyingine ya kujiuliza kuhusu utayari wako wa kuwa baba. Eti "kwani anaenda kuchinjwa?!" Kweli wewe hazijakomaa. Unadhani kuzaa mchezo ehh?!Ingekuwa hivyo hata wale walioona na kuachana wasingekuwa wanagombana mpaka kupelekana mahakamani kuhusu nani abaki na watoto.


Natanguliza pole kwa hako kachanga kama utafanikiwa na mpango wako.
 
Mchumba amekubaliana na hilo au mnaachana?
Huyo bussines partner wako atarajie msaada gani toka kwako kipindi cha ujauzito? Hapo simaanishi kifedha. . .namaanisha kumletea letea vitu anavyotamani kula/kunywa, uwepo wako na pole za kutosha ikiwa hako kaujauzito katakuja na complication, kumpatia msaada wa kazi zake za siku zote ikiwa hatotakiwa kufanya, kumtimizia mahitaji yake kimwili kama mimba itapelekea yeye kupenda sana tendo la ndo n.k

Kwa kifupi ni hivi. . . .UTAKUWEPO? Au unadunga tu mimba na kuacha ijilee mpaka iwe mtoto?

rafiki mzima........ vijana wanataka watoto wanakimbia wajibu..... shida yake mtoto kumfurahisha mamake
 
Kijana,nilichokuambia kina mtazamo chanya tatizo umeshindwa kunielewa,enwey,hebu msome Asprin upya utapata faida,hata Lizzy anajitahidi kukuelewesha lakini inaonekana unamatatizo ya kuelewa!

ok,kama nina matatizo ya kuelewa bt sio kila alichokiandika ni sahihi au nikifuate
we always read,understand,measure,judge and take decisions
 
Last edited by a moderator:
Mpaka hapo umeongeza sababu nyingine ya kujiuliza kuhusu utayari wako wa kuwa baba. Eti "kwani anaenda kuchinjwa?!" Kweli wewe hazijakomaa. Unadhani kuzaa mchezo ehh?!Ingekuwa hivyo hata wale walioona na kuachana wasingekuwa wanagombana mpaka kupelekana mahakamani kuhusu nani abaki na watoto.


Natanguliza pole kwa hako kachanga kama utafanikiwa na mpango wako.

ulitegemea nikujibu nini coz mtoto hatapata shida yoyote na mama anahak ya kumwangalia kama anahitaji kumtembelea
watoto wangap wanalelewa vizur tu though wazaz wametengana?
 
Mimi naona usimpe sana shavu la kuja kuona mtoto akishazaa ananyonyesha muda kiasi mtoto akishakuwa umri wa kunywa uji huyo mama anatakiwa asepe asirudi tena.
 
rafiki mzima........ vijana wanataka watoto wanakimbia wajibu..... shida yake mtoto kumfurahisha mamake

mama anamawazo chanya kama yangekua hasi ningekwepa
hebu fikiria kanizaa
kanilea
kanipeleka shule
mpaka hapa nilipo i've never knew my fadher je hapo kwa swala la mtoto nimkatalie?
 
How is the baby going to be conceived - through the old fashioned way or through artificial insemination?
 
thus why ni maamuz ya mtu kukubali all the best, lakini jua kwamba dada kumuacha mwanae for lolz ni vigumu, na akibadilisha mawazo in the future inaweza leta matatizo. Imagine umeoa mke mwingine halafu huyu anakuja kuleta sokomoko au kudai kumwona mtoto na kuwa part of his/her life. sidhani kama umefikiria kwa undani hili swala. its not as simple as get a woman> zaa> nyonyesha forl 2~3 years> mama chukua hela sepa niachie mwanangu
kuhusu gf nimejbu pitia utakuta. too bad about your gf
una mawazo mazur na nitayafanyia kaz. vizuri kama umeona point

responses in blue. wish all the luck because you are going to need it.
 
thanx,but you've not tell me if i'm right or wrong,about what i want to do,say sth
yani kumbe unahitaji kuambia uko right or left,mpaka umefikia hapo ur right, go on brother ni kitu cha ajabu tz ila wenzetu wanafanye haya kila siku kukicha
 
Polen na majukumu ya kila siku
mimi ni kijana wa miaka 23 na bado nipo kimasomo katika chuo flani cha elimu ya juu ila nahitaji kuwa na mtoto m1 na hii nikutokana na shinikizo la mama kuniambia anahitaj mtoto kutoka kwangu kabla hajafa kwa kuwa mimi ndo mtoto wake wa pekee wakiume,hivyo kwa kumridhisha mama nikaona nitafute mwanamke atakayenizalia huyo mtoto kwasababu mchumba niliyekua naye na yeye ni mwanafunzi mwenzangu na amekataa kubeba mimba mpaka amalize masomo na ndo kwanza kaanza mwaka huu masomo ya udactar yatakayochukua miaka 5 na huu muda siwez kuusubiri,tuliposhindwa kuelewana ikabidi tusitishe mahusiano na kubaki kama marafiki tu though hakuwa tayar na ameridhia nitafute mwanamke atakaekubal kubeba mimba
MASHARTI YA MKATABA
1.nitakuwa tayar kupima HIV na yeye awe tayar
2.tutakubaliana kiasi nitakacho mlipa
3.tutakubaliana muda atakao kaa na mtoto baada ya kujifungua
4.ni lazima kupima DNA mtoto atakapozaliwa kudhibitisha uhalal wa mtoto
5.kama huyo binti atakuwa tayar kuish na mimi baada ya kujifungua kama mzaz mwenzie(baada ya mimi kumaliza masomo yangu)itaruhusiwa na mkataba utaeleza
6.Nitaudumia ujauzito kwanzia mwez wa kwanza mpaka ntakapomchukua mtoto
7.Atakua na uhuru wa kuja kumsalimia mtoto wakati wote
SIFA ZA MWANAMKE HUYO
1.Asiwe mke wa mtu
2.Awe na umri kuanzia miaka 18 - 25
3.Awe mweupe au maji ya kunde na asiwe mwembamba sana
kama upo tayar ni pm tuwasiliane
4.Kielimu awe amemaliza at least form 4
5.Asiwe mlevi na mvuta sigara
6.Awe hajawahi kuwa na toto hapo kabla
NOTE:
MKATABA UTAKUA KATI YA MIMI NA YEYE NA UTALINDA HAKI ZA KILA MMOJA.
Nipo serious
Pia unaweza ukaniuliza swali lolote au kunishauri
NAWASILISHA
Utoto unakusumbua. Wewe ni mwanafunzi, soma umalize shule kwanza.Mzazi haji kuishi na wewe kwa maisha yako au kukutunzia familia yako baadaye.Unaoa ili uwe na familia yako mwenyewe.Epuka watoto wanaolelewa na wazazi ambao hawaishi pamoja,usijifikirie nafsi yako au kufanya jambo fulani ili kumfurahisha mzazi wako bila kufikiria upweke atakaokuja kuishi mwanao bila mama mzazi baada ya wewe kuoa mwanamke mwingine na kuachana na huyo wa mwanzo,Nafikiri unawaona watoto wa mtaani wengi wao utakuta wamekimbia nyumbani kutokana na manyanyaso ya kina mama wa Kambo na wengine wametoka kwenye familia bora tu.Kwa mtizamo wangu nakuona wewe hufai katika jamii,wewe ni mtu mbinafsi na ni kati ya wanaotaka kuchangia ongezeko la watoto wa mitaani.
 
kama umesoma maelezo vizur nimeandika
1.nitaihudumia hiyo mimba mpaka wakati nitakapo mchukua mtoto baada ya kumaliza kunyonya
2.mwanamke nitamhudumia mahitaj yanayoendana na ujauzito wangu
3.kuhusu uwepo wangu inategemea huyo mwanamke atakua mkoa gan coz mda mrefu nipo chuo na field
hapo kwenye red kuweni makini huu ni utoto uliopitiliza msipoteze nguvu wakuu
 
1.mkataba utauona pale utakapokuwa tayar,kama upo tayar ni pm
2.kuhusu kizaz tutapima hosp uwezo wa mbegu zangu kabla
3.mimi siyo muhuni kwa hiyo jatembea na wanawake weng zaid ya huyo aliyeko mwaka wa kwanza chuo cha afya Muhimbili
pimeni kwanza akili sio kutiririka tu wakuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom