Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,562
- 47,009
Utapata tu, Mungu akupe wa chaguo lakoBd wkt wng wa kuwa na mtt haujafika.

Kwanini ni LAZIMA niwe nao ?Sasa kwanini hutaki watoto ilhali hauna ata mmoja,?
Makubwa.dunia haiishi vituko.Kama wewe ni mwanamke mgumba umri 18 - 30, basi mie nilikuwa nakutafuta wewe!
Kiufupi ni kwamba nataka kuoa ila sina mpango wowote wa kuwa na mtoto (yaani mpango wowote). Kwa minajili hiyo basi mwanamke anaenifaa zaidi mie ni mwanamke mgumba ili tujenge maisha pamoja.
Niweke angalizo: 1. Sifurahii tatizo la ugumba, naamini ni tatizo kubwa kama matatizo mengine na naamini walio nalo wanahitaji faraja. Kwa kuwa kukosa mtoto ni jambo baya sana.
2. Siwachukii watoto na nafurahi sana ninapokuwa na watoto hasa wa majirani zangu na kaka yangu.
Naamini mwanamke mgumba anahitaji kupendwa na faraja sawa na mwanamke mwingine yeyote yule na hivyo naomba nitumie nafasi hii kuwaambia kuwa nahitaji mwanamke mgumba.
Kama wewe sio mgumba lakini unataka maisha ya kigumba basi we njoo tu, HAINA SHIDA, ila usije kunisumbua mbele ya safari.(oooh! Joel mi nataka mtoto kama mwajuma)
Umri nishataja angalia hapo aya ya kwanza. Usijali kama huna kazi maana mimi kazi nnayo. Tutaishi kwa kazi yangu.
Kuna mtu anasoma hapa anajiuliza, "sasa hawa hawana mtoto wanataka kufanya nini ndani ya ndoa ?"
Yapo mengi ya kufanya hasa ya kijamii, kujitolea, kulingana na huyo mwenzangu ntakayempata.
Nicheki PM kama uko interested.
Unaonaje ukifika alafu akawa wakwanguBd wkt wng wa kuwa na mtt haujafika.
Ahahaha njoo tuyajenge bsUnaonaje ukifika alafu akawa wakwangu
Ahaa sawaKwanini ni LAZIMA niwe nao ?
EmenUtapata tu, Mungu akupe wa chaguo lako
Kwa vile vigezo vyako vya kutafuta mume nahisi kabisa nisha kukosa JohhanaAhahaha njoo tuyajenge bs
Nakuelewa sana kiongozi! Dunia ya sasa si ya kuleta watoto waje wateseke.
Bora ule bata lako na mpenzi wako ukiondoka usiache lawama wala huzuni kubwa
Utajiri wa NDAGU ,hauruhusiwi kuwa na MTOTO.Kama wewe ni mwanamke mgumba umri 18 - 30, basi mie nilikuwa nakutafuta wewe!
Kiufupi ni kwamba nataka kuoa ila sina mpango wowote wa kuwa na mtoto (yaani mpango wowote). Kwa minajili hiyo basi mwanamke anaenifaa zaidi mie ni mwanamke mgumba ili tujenge maisha pamoja.
Niweke angalizo: 1. Sifurahii tatizo la ugumba, naamini ni tatizo kubwa kama matatizo mengine na naamini walio nalo wanahitaji faraja. Kwa kuwa kukosa mtoto ni jambo baya sana.
2. Siwachukii watoto na nafurahi sana ninapokuwa na watoto hasa wa majirani zangu na kaka yangu.
Naamini mwanamke mgumba anahitaji kupendwa na faraja sawa na mwanamke mwingine yeyote yule na hivyo naomba nitumie nafasi hii kuwaambia kuwa nahitaji mwanamke mgumba.
Kama wewe sio mgumba lakini unataka maisha ya kigumba basi we njoo tu, HAINA SHIDA, ila usije kunisumbua mbele ya safari.(oooh! Joel mi nataka mtoto kama mwajuma)
Umri nishataja angalia hapo aya ya kwanza. Usijali kama huna kazi maana mimi kazi nnayo. Tutaishi kwa kazi yangu.
Kuna mtu anasoma hapa anajiuliza, "sasa hawa hawana mtoto wanataka kufanya nini ndani ya ndoa ?"
Yapo mengi ya kufanya hasa ya kijamii, kujitolea, kulingana na huyo mwenzangu ntakayempata.
Nicheki PM kama uko interested.
Tatizo wa Africa washakariri kila ndoa lazima kutotoaKuna watakaokubeza lakini hili jambo la kutaka ndoa isiyo na mtoto sio jambo geni kwa nchi nyingine..
Katika vile vigezo vyako nimekidhi vigezo namba 7,8,10,11,12,13,15,18,19,20.Ah vile vigezo tuu bhn. Maelewano ndo muhumu eti
Ah ivyo mbn vingi sn tu. UmejitahidiKatika vile vigezo vyako nimekidhi vigezo namba 7,8,10,11,12,13,15,18,19,20.
Sasa hivyo vingine ambayo sijakidhi inakuwaje?Ah ivyo mbn vingi sn tu. Umejitahidi
vitu vdg tu ivyooSasa hivyo vingine ambayo sijakidhi inakuwaje?