Nahitaji mwalimu kwa ajili ya Private Tuition Advance Physics & Chemistry (Ilala-Dar)

Royal Warrior

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
1,166
2,117
Habari ya jioni.

Nahitaji mwalimu wa masomo ya Physics na Chemistry (form 5) kwa ajili ya private Tuition.

*Muda ni wiki mbili tu.
*Kwa siku muda wa kusoma ni masaa 2 tu.

Topics zifuatazo.

PHYSICS:
1. Fluid Dynamics
2. Newtons
3. Circular motion

CHEMISTRY
1. Physical Chemistry only.

Ambae yupo interested aje pm au reply hapa kwenye huu uzi.
 
Eleza unapatikana wapi...!
Utakuwa unamfuata huyo Mtu, ama atakufuata ulipo, package ya malipo umejipangaje..?
Physical chemistry kwa wiki mbili kwa huo muda hutoimaliza, labda subtopic mbili tu!
 
Daah physics!! Kama unasoma pcm..

Hiyo fluid kama utakuja kusoma civil au kozi za maji utaitumia sana mpaka kazini..

Hiyo circular kama utasoma civil/transport utaitumia sana kwenye usanifu wa barabara..

Najua haiusiani lakini nimeona niandike tu... kila la heri kijana!!
 
Eleza unapatikana wapi...!
Utakuwa unamfuata huyo Mtu, ama atakufuata ulipo, package ya malipo umejipangaje..?
Physical chemistry kwa wiki mbili kwa huo muda hutoimaliza, labda subtopic mbili tu!
Mwalimu atakua anamfata mwanafunzi, mwanafunzi yupo ilala.. ni kweli subtopics tu. malipo maelewano.
 
Back
Top Bottom