mwali wa giningi
Member
- Nov 14, 2013
- 67
- 42
Nina mgonjwa wa kifua kikuu ambaye kwa muda mrefu amekuwa akisumbuliwa na Kisukari. Leo hii anaingia siku ya tano toka aanze dozi. Ukweli ni kwamba amedhoofika sana. Pamoja na yote nilikuwa nataka ufahamu kidogo kuhusiana na chakula gani hasa ni sahihi kwake, angalau aweze kurecover haraka? Ni hayo tu