Nahitaji mume

Status
Not open for further replies.
Mungu kasikia kiliochako kwa kutimiza htajk LA moyo wako, mume ushapata ila vp kuhusu chura yupo!?
 
Sifa zangu
Umri: miaka 34-35
Dini: Mkristo
Elimu: Shahada .....
Ajira: Mwajiriwa
Urefu: 161cm

SIFA ZA MWANAUME
Umri: 35-45
Kabila: Lolote
Rangi: Yoyote
Elimu: Shahada na kuendelea
Kazi: Uwe mwajiriwa
Dini: Mkristo
Usiwe mlevi.
Uwe tayari kupima HIV
Umri wa miaka 34-35 ndio miaka mingap?

Kwa hiyo kama mtu ana shahada ila hajajiriwa na maisha yake yanaenda vizuri hafai?

Calm down madame
 
Unamiaka 34 - 35 bado unaweka sharti la mume kwamba lazima aajiriwe serikalini!!!? Inaonesha ulivyokua na 24yrs ulikua na masharti magumu sana ndio yamekufikisha hapo!! Ngoja ufike 40yrs nafikiri uta regulate masharti.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom