Nahitaji mume, miaka 39-50

Mwanamke mwenyewe kisilani hivi mtawezana kweli

Naona kama tayari imeshaanza kuingia menopause
 
Nahitaji mume wa kuanzia miaka 39 hadi 50. Awe mrefu na mkweli. Awe serious & Mwenye hofu ya Mungu. Nimejiajiri&nina mtoto mmoja.

MUME WA MTU PITA PEMBENI, WENYE UMRI CHINI YA 39 PITA PEMBENI. KARIBU PM
Twahitaji picha zako, tutajie pia tabia zako, una watoto wangapi na umeachika mara ngapi na kwanini?
 
Hakuna mke hapa.wewe ni wale wanawake wa mjini mnaozalishwa na kuachwa kutokana na tabia zenu.wewe huna hadhi ya kua na mwanaume mwenye hofu ya mungu kama ulivyoandika, mwanaume wa type yako ni akina sisi mabaharia ndio tutakwenda sawa.waache wanaume wenye hofu ya mungu wapate wake wenye hofu ya mungu.
Hahahahaaa,sijui niseme una roho mbaya au una roho nzuri?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom