Utajikwa tembea taratibu usikimbieHongera ngoja na mie niweke bango kumbe unapata kwel
Twahitaji picha zako, tutajie pia tabia zako, una watoto wangapi na umeachika mara ngapi na kwanini?Nahitaji mume wa kuanzia miaka 39 hadi 50. Awe mrefu na mkweli. Awe serious & Mwenye hofu ya Mungu. Nimejiajiri&nina mtoto mmoja.
MUME WA MTU PITA PEMBENI, WENYE UMRI CHINI YA 39 PITA PEMBENI. KARIBU PM
Yeye mwenyewe mke wa mtu.Hutaki used wakati nawe ni scraper .
Mtuheshimu waume za watu sisi ndiyo waoaji .
Hahahahaaa,sijui niseme una roho mbaya au una roho nzuri?Hakuna mke hapa.wewe ni wale wanawake wa mjini mnaozalishwa na kuachwa kutokana na tabia zenu.wewe huna hadhi ya kua na mwanaume mwenye hofu ya mungu kama ulivyoandika, mwanaume wa type yako ni akina sisi mabaharia ndio tutakwenda sawa.waache wanaume wenye hofu ya mungu wapate wake wenye hofu ya mungu.