Nahitaji Mtu wa kupiga window 10 anayepatikana Shinyanga

Mkuu niforwadie hayo maelekezo aliyokupa Chief Mkwawa . Na Mie Nina Shida hiyo
Mkuu nilikuwa nachati nae huta elewa pia mengine nilijiongeza mwenyewe ni pm namba yako whatsapp nikupe maelekezo na wakati unapiga window unaweza kuwa una unapiga picha unanitumia nakuelekeza mi sihitaji hela yoyote kama hao jamaa wa hadi 100000.
 
Utampoteza bure broo , kule ndo akifika atapotea .
Kama ana kichwa kigumu atapotea,hakunifundisha mtu kupiga windows,nilisoma tutorials za pdf halafu nkaingia youtube.Ndani ya muda mchache nkapiga windows mwenyewe
 
Aisee nimeona kuna watu wanapigwa na kupiga kizembe sana kwa kitu rahisi kama kuinstall windows, wakati mimi nilijifunza ndani ya video ya dk 3 tu then nikamaliza kazi kibabe ndani ya dk chache, hii sio fair.

Ngoja niweke kila kitu wazi hapa kwa faida ya wote kwa sababu kama umepata bure basi na wewe toa bure.

Cha kwanza hakikisha una flash yenye kuanzia 4 gb na kuendelea.

Cha pili ingia kwenye website inaitwa getintopc.com. kwenye hii website utakuta kila unachokitaka bure.
Hivyo search windows 10 au yoyote ile alafu shuka chini bonyeza download.
Kama una flash kuanzia 4 gb basi hakikisha unapata windows yenye gb 3.5 mpaka 3.7 isizidi hapo ili iweze kuingia kwenye flash yako.

Hatua ya tatu download software inaitwa Rufus.

Chomeka flash then utatumia hiyo Rufus kuformat hiyo flash ili kuifanya bootable.

Hatua ya mwisho ni kutumia hiyo rufus kuextract hilo file windows iso image kwenye hiyo flash kwa kutumia hiyo'hiyo rufus.

Then zima pc chomeka flash alafu bonyeza f9 au f12 then baada ya hapo kila kitu kitakuwa wazi kufanya installation kazi imeisha ndani ya dk chache tu.

Sijapiga windows ndani ya miaka mingi hivyo hata sikumbuki hii kitu vizuri nilishasahau kitambo na nilishatengeneza backup bootable flash drive kitambo hivyo hata nikikwama navuta backup yangu.

Kwa kutumia google na youtube pia jf kidogo mpaka leo ndio sababu sijawahi kukanyaga kwa fundi na hakuna tatizo litaikumba pc yangu nikashindwa kujua au kutatua, kikubwa ni usiogope kujaribu vitu vipya kwenye kifaa chako kwa kuogopa kuharibu hakuna kitu kama hicho kwani ukiharibu unajifunza na itakufanya ukijue kifaa kiundani zaidi.
Maana yangu ni usiogope kujifunza mwenyewe na usiogope kifaa pia usiogope kuuliza how.

Mafundi wengi ni uncivilized money grubbers imagine kitu simple kama hiki anakupiga laki kweli?
Alafu mara nyingi ni hizi'hizi windows za kuiba cracked ambazo ukiwa na bundle la 4 gb unadownload bure.

I bought the laptop I use the whole laptop.
 
Mkuu usiwe unawapa watu wa ovyo ovyo kupiga window, sometimes wanakuwekea window ambao hauna security kwahiyo corrupt yake ni dakika 0 .

Ukiweza njoo Shinyanga mjini ofisini kwangu , hizo kazi huwa nashughulika nazo , kupiga window elfu 35k kwa pc moja .

Na ukihitaji kujua kupiga window natoa mafunzo kwa elfu 50k .

Karibu sana
Wasiliana nami kupitia namba hii hapa :-
0742186254 WILLIAM ROMWARD
Kama orginal copy simbaya ila hizi za kubypass na KMSpico au activator yoyote buku 20 tu inakutosha
 
Windows elfu 15 tu jaman kah, iyo ninoamoja na ku install zile important drivers

Tena Kama ukija kwangu nakuekea na ant virus bureee
 
Windows elfu 15 tu jaman kah, iyo ninoamoja na ku install zile important drivers

Tena Kama ukija kwangu nakuekea na ant virus bureee
Sindio hapo sasa et watu wanapiga hadi kwa 90000 , sijui wameniona mm ni shamba boy kwanza huwa ni 10000.
 
Katika maisha Kaka mondela inabidi kujifunza Mambo mengi la sivyo utawanufaisha watu Sana hata kuweka switch mpya ukutani ,kurekebisha bomba ni vitu ambavyo inabidi kujua ukisema uite fundi utakimbia Yani fundi anataka apate pesa ambayo hata yeye hawezi kuitoa kama angekua mteja
 
Katika maisha Kaka mondela inabidi kujifunza Mambo mengi la sivyo utawanufaisha watu Sana hata kuweka switch mpya ukutani ,kurekebisha bomba ni vitu ambavyo inabidi kujua ukisema uite fundi utakimbia Yani fundi anataka apate pesa ambayo hata yeye hawezi kuitoa kama angekua mteja
Ndio hapo mkuu yaani nilipgwa 10000 kwenye kuweka window ika corrupt nikaenda kwa jamaa mmoja shy nikapiga kwa 15000 ukiingiza na nauli inakuja 35000 nayo ika corrupt ilinibidi niombe ushauri kwa jamaa mmoja anaitwa Chief-Mkwawa Ndio akanishauri niingie youtube na pia akaniambia ni download aisee nilijifinza hapo hapo nikapiga mwenyewe saivi sina shida mkuu. Kuhusu vingine huwa najifunza mdogo mdogo.
 
Yani mtu anadhani akikupa huduma mbovu anatajirika kumbe anajiharibia jina
Kabisa mkuu anajiaribia na ndio maana alinifanya nijifunze kupiga window kwa hasira aisee hato niona tena
 
Back
Top Bottom