Nahitaji mtu mmoja tu sahihi ambaye atakuwa mke wangu Mungu akipenda hilo

Black Mann

Senior Member
Jun 30, 2020
128
250
Habari wakuu,

Mimi bado nipo katika kuiamini na kuwaamini watu wote wa JF, nishamaliza kila kitu na ujana wotee, kwa akili zamgu timamu sasa nahitaji mtu mmoja tu sahihi ambaye atakuwa mke wangu Mungu akipenda hilo.

Awe na umri kati ya miaka 18 - 30, awe anajitambua aliye tayari kuwa katika mahusiano serious, awe anajua kusoma na kuandika (kama atakuwa na elimu kubwa zaidi pia ni vyema) kabila lolote, kama una mtoto pia sio tatizo kwangu!
Naomba kwa atakayepitia uzi huu kama sio wewe basi hata rafiki / Ndugu yako akiwa na sifa wewe utakuwa mmoja wa mtu muhimu sana kunipatia mke,

mimi nina 34yrs, muajiriwa na biashara pia, naishi dar es salaa. Mengne zaidi karibuni PM
 
stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
12,160
2,000

Umefanya vyema kumtanguliza Mungu...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom