Nahitaji mtaalam wa ukweli wa kunisafisha nyota

Base kwenye imani yako joh. Hao wataalamu cjui wa nyota temana nao utapoteza jaksi zako kizembe. Wewe dili na imani yako kama ni Muslim or Christian. fanya ibada sana tubu dhambi zako, funga, toa sadaka ,nk. Mbishe mbona zitakaa sawia aseee.

MTAALAMU/MGANGA PEKEE NI MUNGU.


maoni yangu lakini.fuata kile unacho ona ni bora kwako....🙌🏽✊🏾🚶
 
Back
Top Bottom