Nahitaji Msichana wa Kazi

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,022
Hello pipoo.
Nahitaji msichana wa kazi ambae atakuja na kuondoka.
Majukumu yake

1. Kufua na kupiga pasi nguo zangu
2. Kupika chakula cha jion, Kuosha vyombo
3. Kufanya usafi wa ndani na Nje
4. Awe anajua kutengeneza juice za matunda na kupika vzr
5. Kuripoti ni kuanzia saa 4 asubuhi, kuondoka muda wowote imradi awe amemaliza majukumu yake.
6. Awe tayari kuyoa taarifa zake, anapoishi na ndugu zake wa karibu

Tabia.
1. Awe na nidhamu
2. Awe muamijifu na mtunza siri
3. Awe na umri kuanzia 18-30 yrs
4. Awe msafi na nadhifu.
5. Asiwe na tabia za kiswahili,
6. Awe anaishi maeneo ya Kinondoni

Mshahara ni 60,000 kwa mwezi, nina chumba na sebule tu. Naishi Kinondoni Kwanyanya

Aliyetayari ani PM.

UPDATES 5TH MAY 2018.
NIMESHA MPATA GUY'S, ASANTENI SANA.
 
Vipi akiwa ni kijana wa kuja na kuondoka mwenye umri kati ya ulioainisha. Na anajua kazi zote kama ulivyo agiza?
 
Hello pipoo.
Nahitaji msichana wa kazi ambae atakuja na kuondoka.
Majukumu yake

1. Kufua na kupiga pasi nguo zangu
2. Kupika chakula cha jion, Kuosha vyombo
3. Kufanya usafi wa ndani na Nje
4. Awe anajua kutengeneza juice za matunda na kupika vzr
5. Kuripoti ni kuanzia saa 4 asubuhi, kuondoka muda wowote imradi awe amemaliza majukumu yake.
6. Awe tayari kuyoa taarifa zake, anapoishi na ndugu zake wa karibu

Tabia.
1. Awe na nidhamu
2. Awe muamijifu na mtunza siri
3. Awe na umri kuanzia 18-30 yrs
4. Awe msafi na nadhifu.
5. Asiwe na tabia za kiswahili,
6. Awe anaishi maeneo ya Kinondoni

Mshahara ni 60,000 kwa mwezi, nina chumba na sebule tu. Naishi Kinondoni Kwanyanya

Aliyetayari ani PM.
Nipo tayari kaka yangu
 
Naona mkuu umeamua kutafuta mke kijanja safi idea nzur hii nimeipenda
 
Kinondoni kwa nyanya au manyanya, yupo mmoja anakaa kinondoni manyanya na dadaake katika iringa mwenzi ulopita
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom