nahitaji msichana mwenye uwezo wa kuimba sauti ya kwanza au ya pili

saut ninayo ila sina sura nzuri, umbo langu kama sanamu lamichelin

wewe utaendelea kuwa rafiki yangu wa kawaida kama Dena Amsi, lakini kwa hii shughuli hufai coz unategemea biashara moja tu ya sauti. mi nataka mwenye sauti, umbo na sura but nikikosa ntakufikilia so usife moyo. karibu tena. mia
 
Last edited by a moderator:
Kichwa cha habari kinahusika. Lakini awe na nzuri sura, awe mlefu kiasi na asiwe amejichubua.
Vilevile msichana yoyote mwenye umbo zuri anaye weza kuimba sauti ya pili "A". Umri wao usizidi miaka 32 na usipungue miaka 22.
Sio lazima awe mwana jamiiforums. kwa wale wa jf wanapm na wale wasio member wa jf waniandikie kupitia
figganigga@jamiiforums.com. Atakaye wahi ndo atapewa kipaumbele.asanteni sana. Mia
Unataka akakuimbie wapi?chumbani au jukwaani?
 
wewe utaendelea kuwa rafiki yangu wa kawaida kama Dena Amsi, lakini kwa hii shughuli hufai coz unategemea biashara moja tu ya sauti. mi nataka mwenye sauti, umbo na sura but nikikosa ntakufikilia so usife moyo. karibu tena. mia

Umeshampata mwenye sauti nzuri au bado
 
Back
Top Bottom