nahitaji msichana mwenye uwezo wa kuimba sauti ya kwanza au ya pili

Guna taratibu, usiku saa hizi! Alafu muulize mzee wa mia alikuwa wapi kutafuta walimbwende mpaka Husninyo akaondoka? Lol

Yule bi. Husninyo binti maua tulishindana tabia akanitema. hivi inakuaje siku hizi umentenga na wewe? au nawe una njama za kunikimbia kama charminglady? Wewe hudanganyiki na hamna wa kukuiba. atakaye jaribu kukutongoza macho yake yatakua chakula changu. Uwambie kabisa. Siwezi kubali kukupoteza hivi hivi. mia
 
Last edited by a moderator:
wakukuimbia usiku au,
kwani sauti moja tu itasaidia nini,
chukua wanne kabisa mia.

Mkuu tunaenda hatua moja baada ya nyingine, huweza nyanyua miguu kwa wakati mmoja labda kama unataka utembee mwendo wa kangaroo.
Halafu maswali yako! unataka kuwatisha au?. mia
 
Me nna dada yangu ana sifa zote ila niambie kwnz unataka aimbe kwaya au qaswida au ubongo wa fleva? Jipambanue kidogo 100.

Mkuu sio kaswida wala choir. Nina kazi nao nyingine kabisa. bongo star search ya bongo nlimpata mmoja ambaye kaachwa.
Namuomba mkuu na nakuhakikishia ulinzi wa hali ya juu kwake. mia
 
saut ninayo ila sina sura nzuri, umbo langu kama sanamu lamichelin

wewe utaendelea kuwa rafiki yangu wa kawaida kama Dena Amsi, lakini kwa hii shughuli hufai coz unategemea biashara moja tu ya sauti. mi nataka mwenye sauti, umbo na sura but nikikosa ntakufikilia so usife moyo. karibu tena. mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom