Habarini wadau,
Nahitaji kutuma data kwenye server kwa kutumia mobile app kwa njia ya web service, hizo data zitabeba iterm name na price then id inakuwa auto increment, nimetengeneza db kwenye phpMyadmin na kwenye root directory nimeweka hizi code
ila kila nikijaribu kutuma data kwenye server iwe kwa kutumia postman au android app haionyeshi any error message postman inaonyesha status 200 ok success lakini nikienda kwenye DB hakuna data ambayo inakuwa imeingia, nipo mbele yenu nisaidieni.

PHP:
<?php
// Create connection
$con=mysqli_connect("localhost","wametsy-auest","wamhags_shst","waayuu_990t");
// Check connection
if (mysqli_connect_errno())
{
echo "Failed to connect to MySQL: " . mysqli_connect_error();
}
// Select all of our stocks from table 'stock_tracker'
$sql = "SELECT * FROM stock_tracker";
// Confirm results
if ($result = mysqli_query($con, $sql))
{
// create an array to hold the results
// and an array to hold the data
$resultArray = array();
$tempArray = array();
// Loop through each result
while($row = $result->fetch_object())
{
// Add each result into the results array
$tempArray = $row;
array_push($resultArray, $tempArray);
}
// Encode the array to JSON and output the results
echo json_encode($resultArray);
}
// Close connections
mysqli_close($con);
?>