Nahitaji msaada wako, nilikunywa kahawa nimekosa usingizi sijapata usingizi kabisa

Kiminyio 01

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
1,350
1,929
Amani iwe kwenu wana JF, rejea mada husika.

Mimi ni kijana wa umri wa kati ya miaka 25&27 uzito wangu ni k 94 urefu ni fut 6.2, majira ya jumatatu alasiri nilikunywa kahawa kikombe kimoja na kashata mbili, tangu Jumatatu hadi leo hii Jumatano sisinzii sina dalili ya kupata usingizi na hata nikijilazimisha kujichosha sisinzii.

Mfano kutembea umbali mrefu, kuruka Kamba, kufanya sex sana lakini wapi.

Nahitaji ushauri wenu namna gani naweza kuovercome hii situation nammi nipate usingizi kama watu wengine.
 
Nenda hospitali. kawaone wataalamu wa afya, kuna dogo tumempoteza juzi kati nae usingizi ulipaa siku kadhaa mfululizo, kaomba ushauri kwa vijana wenzie kuna dawa akaambiwa akanunue, kameza dawa hakumaliza hata masaa 24 hali ikawa tete.

Pia jitahidi kupunguza uzito.
 
Du! Hiyo hypertension kiboko. Unangoja nini si uende kumwona daktari. Kiwa macho muda mrefu hivo ni hatari kwa uhai wako.Ubongo utachoka.

Kama unaamini dini fanyiwa na maombi. Vile vile jaribu kuogea chumvi ya mabonge changanya na magadi kwa imani Mungu atakupa usingizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom