Nahitaji msaada wa mawazo

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,615
Nina wiki tatu sasa sijapata HAJA KUBWA.
Kula nakula vizuri lakini vitu havitoki
Nikienda toilet kila nikilazimisha, KUBWA haitoki
Nimekula mapapai hadi natoka kitambi lakini sinyi.
Nifanyeje?
 
Nina wiki tatu sasa sijapata HAJA KUBWA.
Kula nakula vizuri lakini vitu havitoki
Nikienda toilet kila nikilazimisha, KUBWA haitoki
Nimekula mapapai hadi natoka kitambi lakini sinyi.
Nifanyeje?

kijana ushalogwa inaonesha. kama uliiba mke wa mtu, kaombe razi haraka sana. mimi ni daktari mzoefu lakini hii kitu yako haiko kwenye sylabus yangu kabisa.
 
Au jaribu kula chakula cha Kihindi...zile curry kiboko ya haja kubwa. Ukila lazima ulipue mabomu chooni.
 
mzitto kabwela omba radhi kwa kauli yako. umekurupuka mi sikutegemea kauli kama hiyo toka kwako
 
kuna watu wengine ni wehu, wanaweka mabandiko ambayo ukiyatazama hayana uhalisia. Utakaaje wiki tatu bila kwenda choo na humwoni kama alikwenda hospital kupata tiba? Pata tiba, ikishindikana ndo uombe ushauri. Anyway niwie radhi kwa niliowakwaza
 
Back
Top Bottom