t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 6,369
- 14,764
Katoro ni kamji ka madini huko geita , na kuna uwezekano mkubwa hata mdau ni mtu wa madini , maana the way anaielezea hiyo pesa definety inatoka katika mazingira ya zari... Kuna jiwe ameuza I guessSipajua Katoro na sijui wingi wa watu huko ila ningeshauri fanyia uchunguzi hiz biashara
1. Vifaa vya pikipiki na baiskeli
2. Kuna zile biashara machinga wanauza kama sosi, mikanda, saa n.l
3. Mahitaji ya vitu vya ndan - Mangi shop
Biashara hizo ulizomshauri zinaweza zikamsaidia haswa kwa location ya katoro.