Sparh
Member
- Jan 1, 2021
- 9
- 0
Habari jamani,
Mimi nina shida ya msaada wa nini nifanye katika hili. Mimi cheti changu cha kuhitimu elimu yangu ya sekondari(form for certificate) kiliungua moto mara baada ya nyumba yetu kupata janga hilo la kuungua moto nyumba nzima.
Sasa nauliza nahitaji msaada wenu nyie kama wadau wa elimu na mambo mbalimbali je naweza kufanya kipi ili sekta husika iweze kunipa cheti changu.