Nahitaji msaada wa kiushauri au mawazo katika hili ndugu wadau wa elimu na mambo mbalimbali

Sparh

Member
Jan 1, 2021
6
20
Habari jamani,

Mimi nina shida ya msaada wa nini nifanye katika hili. Mimi cheti changu cha kuhitimu elimu yangu ya sekondari(form for certificate) kiliungua moto mara baada ya nyumba yetu kupata janga hilo la kuungua moto nyumba nzima.

Sasa nauliza nahitaji msaada wenu nyie kama wadau wa elimu na mambo mbalimbali je naweza kufanya kipi ili sekta husika iweze kunipa cheti changu.
 
google helper

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
8,709
2,000
Habari jaman,mimi nina shida ya msaada wa nini nifanye katika hili.Mimi cheti changu cha kuhitimu elimu yangu ya sekondari(form for certificate) kiliungua moto mara baada ya nyumba yetu kupata janga hilo la kuungua moto nyumba nzima,sasa nauliza na nahitaji msaada wenu nyie kama wadau wa elimu na mambo mbalimbali je naweza kufanya kipi ili sekta husika iweze kunipa cheti changu
Kama police wana taarifa ya vyeti vyako kuungua moto, basi nenda NECTA na hizo taarifa za police wanaweza kukupa walau msaada.
 
Whiteman confusing

JF-Expert Member
Sep 12, 2020
335
500
Habari jaman,mimi nina shida ya msaada wa nini nifanye katika hili.Mimi cheti changu cha kuhitimu elimu yangu ya sekondari(form for certificate) kiliungua moto mara baada ya nyumba yetu kupata janga hilo la kuungua moto nyumba nzima,sasa nauliza na nahitaji msaada wenu nyie kama wadau wa elimu na mambo mbalimbali je naweza kufanya kipi ili sekta husika iweze kunipa cheti changu
Mkuu wala usikate tamaa kila kitu sasaivi ipo online kimsingi
Unatakiwa huwe na notification report za police then unapeleka kwenye media/ magazeti then unaenda Necta wanakuwa uthibisho zaidi.
Bade wanakuandalia Cheti chakp.
 
Sparh

Member
Jan 1, 2021
6
20
Asante sana ndugu,sasa huko kwenye media kunakua na nini zaidi halafu piah kule kunakua hakuna labda gharama za kulipia chet tena hapo bado sina uelewa ndugu kama waweza nijuza zaidi ntabarikiwa sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom