• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Nahitaji msaada wa haraka, nawashwa mwili

J

jibazo

Member
Joined
Oct 26, 2016
Messages
7
Points
45
J

jibazo

Member
Joined Oct 26, 2016
7 45
Habari ya leo na poleni na majukumu wana jamvi,

Mimi ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa jijini Mbeya, ila tangu nihamie hapa kutoka Mtwara ninawashwa mwili mzima vibaya sana, hii hali hutokea pale joto la mwili likipanda, kama nikiwa nakula, nikijifunika blanketi, na hata nikitembea na hasa nikitembea kwenye jua yaani ngozi inachomachoma sana.

Nimejaribu kutembelea hospital kadhaa hapa Mbeya napewa theories tofauti, mara naambiwa na tatizo la Eczema, mara naambiwa na reaction ya ngozi kwenye baridi yaani naambiwa vitu vingi na napewa dawa na sindano ila vinasaidia kwa muda mchache tatizo linarudi tena, na linarudi kwa kasi mno, maana sasa nawashwa hata nikiwa kivulini.

Kitendo cha mwili wangu kupata joto kidogo tu nawashwa sana hadi inafikia hatua ngozi inauma na inatoka vipele vidogo vyekundu ila baada kama ya saa moja muwasho unaisha na vipele vinapotea. Nikirudi nyumbani likizo siwashi hata kidogo. Naomba msaada wenu maana nina safari ndefu ya kukaa hapa na hii hali inanitesa mno.

Natanguliza shukrani, Jibazo
 
fundi bishoo

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Messages
6,391
Points
2,000
fundi bishoo

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2018
6,391 2,000
Hyo hali ya mwili kuchoma choma hata mm pia nnayo mkuu hasa nkipgwa na jua sanasana kama jana yake skuoga au hta nkioga lkn huwa ni nusu saa baada ya hapo nadunda tuu

yess BiShoo haswaaAaa
 
Nyoka mwenye makengezaa

Nyoka mwenye makengezaa

Senior Member
Joined
Nov 22, 2019
Messages
198
Points
250
Nyoka mwenye makengezaa

Nyoka mwenye makengezaa

Senior Member
Joined Nov 22, 2019
198 250
ogea maji ya bahari, eka mdalasini na pilipili manga
 
J

jackupa

Member
Joined
Jan 30, 2020
Messages
7
Points
45
J

jackupa

Member
Joined Jan 30, 2020
7 45
habari,

Nina tatizo la kuwashwa sehem mbalimbali za mwili ikiwemo tumboni karbia na kitovu, kwenye mapaja,, hadi katika uume pia na sehem nyingine nying nishazunguka hospital nkapewa dawa mbali mbali ikiwemo cetrizine lakini hakuna mabadiliko chanya, muwasho ndiyo unazidi na mapele kuongezeka pale ninapowashwa.

naombeni msaada wenu ni dawa gani nitumie kwa maana hii hali inasababisha mpaka nakosa vipindi kwa baadhi ya siku.
 
fundi bishoo

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Messages
6,391
Points
2,000
fundi bishoo

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2018
6,391 2,000
Daaah pole sana mkuu mungu akuponye

yess BiShoo haswaaAaa
 
Lenie

Lenie

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2012
Messages
1,259
Points
2,000
Lenie

Lenie

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2012
1,259 2,000
Pole sana,uko sehemu za baridi?

Me nikiwa mikoa ya barid hyo hali hunitokea mwili unawasha sana n navimba pale ninapojikuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyoka mwenye makengezaa

Nyoka mwenye makengezaa

Senior Member
Joined
Nov 22, 2019
Messages
198
Points
250
Nyoka mwenye makengezaa

Nyoka mwenye makengezaa

Senior Member
Joined Nov 22, 2019
198 250
....jamaa yuko Mbeya, sasa maji bahari atayatoa wapi? Au atie chumvi kwenye maji!? Au angojee arudi Ntwara ndo aweke hivi viungo vya pilau kwenye majibahari
akikosa aogee bia. Changanya serengeti na mirinda nyeusi ogea
 
Kajole

Kajole

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
1,610
Points
2,000
Kajole

Kajole

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
1,610 2,000
Ok mi niliwahi tokewa na hali hiyo nikiwa njombe miaka hiyo.

Tiba yake ni PILITON meza kidonge kimoja tu hali hiyo inapokutokea. Ukitumia kama siku 3 hivi basi haitatokea tena maishan mwako.
Pia jaribu kuepuka kuoga maji ya baridi weka vuguvugu na uoge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,403,957
Members 531,444
Posts 34,440,625
Top