Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,493
- 7,206
Ha ha ha ni Ram mkuu ni 2gb inachelewa kuload inabidi aongeze ifike 8gbMkuu inabidi uwahi mirembe wakubadilishie processor.
Aise3 duniani kuna magonjwa ya ajabu saba
Hujafa hujaumbika hii ndio ninasikia leo
Kama kweli pole sana mkuu wangu hakika upo katika mtihani mzito wa maradhi. Jaribu kupata kwenda muhimbili ukaonane na madaktari bingwa hasa itakuwa wanaohusiana na mambo ya akili.
Nachokushauri usikubari kumeza dawa yoyote eidha wakueleweshe kwa kina ni ugonjwa gani unakusumbua au ufanyiwe vipimo ili kubaini tatizo
Zaidi pole sana natumai MWENYEZIMUNGU atakufanyia wepesi. Sisi waislam tunaamini kila UGONJWA una dawa yake isipokuwa KIFO pekee.
Hvyo utapata tu dawa ya ugonjwa wako inshallah utapona.
Pole sana mkuu