Nahitaji msaada: Nachelewa kupata hisia katika mambo mbalimbali

Mkuu inabidi uwahi mirembe wakubadilishie processor.
Ha ha ha ni Ram mkuu ni 2gb inachelewa kuload inabidi aongeze ifike 8gb

Aise3 duniani kuna magonjwa ya ajabu saba
Hujafa hujaumbika hii ndio ninasikia leo

Kama kweli pole sana mkuu wangu hakika upo katika mtihani mzito wa maradhi. Jaribu kupata kwenda muhimbili ukaonane na madaktari bingwa hasa itakuwa wanaohusiana na mambo ya akili.

Nachokushauri usikubari kumeza dawa yoyote eidha wakueleweshe kwa kina ni ugonjwa gani unakusumbua au ufanyiwe vipimo ili kubaini tatizo

Zaidi pole sana natumai MWENYEZIMUNGU atakufanyia wepesi. Sisi waislam tunaamini kila UGONJWA una dawa yake isipokuwa KIFO pekee.

Hvyo utapata tu dawa ya ugonjwa wako inshallah utapona.

Pole sana mkuu
 
Teh teh..Hivi bao na utamu kipi kinaanza..??
Bao ni hadware
Utamu ni softaware

Kwenye COMPUTER/simu unaweza ukatachi kioo au ukacrick/ mouse(hadware )
kufungua apps nk lakini software ikachelewa kurespond ikawa inaload then baada sekunde au dkk kadhaa ikawa okay

So utakuwa umeelewa tofauti ya bao na utamu
Wenzetu wanawake wao wanasikia utamu tuu
 
Polee sana Mkuu...Ila hapo kwenye tendo la ndoa hapooo pamenichekesha kwa kweli..Hahahahahaaaaa
 
Leo amepita demu amevaa nguo ya kutamanisha sana. Sikusimamisha mashine. Baadaye kabisa ndo nakuta mashine imesimama mpaka naumia. Nayo imeanza kupata habari kwa kuchelewa.

Yaani mambo yanachelewa sana.na wasiwasi kuna delay inafanyika katka mawasiliano mwilini. Je tatizo ni nini?
Basi hata hii thread itakuwa ulikuwa upost mwaka Jana ,
 
Huwa nashangaa Moderator anapotaka edit kichwa cha uzi halafu hajui anachotakiwa kukifanya. Uzi wangu ulikuwa na heading nzuri ka badilisha kaandika heading ambayo watu wakisoma wanaweza anza nidharau kuwa sijui kuandika.
 
Kabisa nahisi nerves system zangu zina shida. Either ni kuna uzembe flani unakuwepo au kuna hitilafu.

1. Nilianza tu kama kitu kidogo nachelewa kusikia maumivu yaani naweza kanyaga mwiba then nikatembea baada ya dk kadhaa mbele ndo nasiki maumivu kama nimekanyaga kitu kikali. Wakati nlikanyaga muda umepita.

Au naweza gusa moto nisiungue instantly baada ya muda ndo nasikia maumivu na kurusha mkono wakati huo labda nmeshika pen moto nlishachia zamani.

2. Ikaja pia nikifanya tendo la ndoa yaani naweza maliza bao muda huu ila utamu nakuja sikia baadaye nikiwa nmeshavaa na nguo kabisa hapo ndio ntapiga kelele kwa utamu huku nmefumba macho na kukakamaa mwili.

3. Kipindi cha nyuma nlikuwa sielewi yaan kichekesho kinaweza semwa sasa hivi ikapita hata nusu au masaa ndo nikaanza kucheka ile mbaya. Hii hali inaniogopesha.

Maana wasiwasi wangu ni kuwa itafikia hatua nitakuwa sasa najisikia haja kubwa au ndogo nikiwa nimechelewa kumbe tayari nmeshajisaidia kwenye nguo na hili limenifanya niwe na muda maalumu wa kujisaidia no matter what lazima niende Toi.

Leo amepita demu amevaa nguo ya kutamanisha sana. Sikusimamisha mashine. Baadaye kabisa ndo nakuta mashine imesimama mpaka naumia. Nayo imeanza kupata habari kwa kuchelewa.

Yaani mambo yanachelewa sana na wasiwasi kuna delay inafanyika katka mawasiliano mwilini. Je tatizo ni nini?
... Umeishapima Sukari Mkuu? Dalili hizi zinaendana endana na za Kisukari. Kapime
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom