nahitaji msaada na nokia n96 tv tunner | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nahitaji msaada na nokia n96 tv tunner

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mrlonely, May 4, 2009.

 1. m

  mrlonely Member

  #1
  May 4, 2009
  Joined: May 4, 2009
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  PLEASE niahitaji msaada na sime yangu N96 sijui vipi tv tunner inavyo fanya kazi kuna mtu yoyote anayeweza kunisaidia na hili tatizo
   
 2. Sukununu

  Sukununu Member

  #2
  May 4, 2009
  Joined: Feb 23, 2008
  Messages: 22
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  The cellphone cannot receive analog, DVB-S or DVB-T signals (S=satellite, T=Terrestrial).

  DVB-H (Digital Video Broadcasting - Handheld) transmission is a prerequisite for cellphones with DVB-H receiving capabilities to receive TV signals. The TV station has to transmit in DVB-H format for your cellphone to receive the signals. I am not sure whether we have stations transmitting in DVB-H.

  Kama kuna TV station ambayo ina-transmit signals kwenye DVB-H format basi unaweza kupata maelezo zaidi kwenye manual yake. Kama huna manual unaweza ku-download kutoka:

  http://nds1.nokia.com/phones/files/guides/Nokia_N96-1_UG_en.pdf

  Goodluck!
   
 3. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2009
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,276
  Trophy Points: 280
  Mkuu, sasa kama hio Nokia yako bado ni mpya na umenunua hivi karibuni inabidi uende katika website ya Nokia na usomesome kuhusu chombo chako hicho ambacho ni kabambe.

  Pili technology ambayo Nokia96 inatumia kuangalia TV inaitwa DVB-H broadcast au Digital Video Broadcast Handheld kwa ajili ya simu za mikononi.

  Sasa kupata Live TV zinazorushwa kwa mfano Tanzania kunategemea na service provider wako au broadcaster services kama TBC na kadhalika lakini kama ungekuwa mengine mengine kama Ulaya na Marekani na nchi kama South Afrika, usingekuwa na matatizo ya kupata hizo TV za bure zinazorushwa hewani.

  Kwa ufahamu zaidi tembelea links zifuatazo:

  Nokia N96: Demonstrations

  Hii ni kwa ajili ya kujua zaidi kuhusu jinsi ya kupata TV katika simu yako.

  na

  Nokia UK - Update your Nokia N96 - Tips & tricks - Nokia N96 support

  Hii ni kwa ajili ya kuhakikisha simu yako inakuwa updated kila mara.

  Nafikiri umekwishanifahamu mpaka hapo.

  Bless.
   
Loading...